Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Atleast ingekuwa ni game ya kushinda sawa. Gemu lenyewe tushapoteza nje ya uwanja then viingilio wanaweka vikubwa. Hawajielewi hawa TifuTifu

kufungwa tufungwe,... hata pesa tukose?? ...ndo waliangalia hapo.
 
Record ya Taifa Stars vs Nigeria
1972 - Taifa stars 0 Nageria 0
1975- Taifa stars 1 Nigeria 2
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 3
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 1
1980 -Taifa Stars 0 Nigeria 2
2002 - Taifa stars 0 Nigeria 2
2015- Taifa stars. ? Nigeria ?

inamaana mechi zote tulizocheza nao tumechezea home ground???
 
Record ya Taifa Stars vs Nigeria
1972 - Taifa stars 0 Nageria 0
1975- Taifa stars 1 Nigeria 2
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 3
1980 - Taifa Stars 1 Nigeria 1
1980 -Taifa Stars 0 Nigeria 2
2002 - Taifa stars 0 Nigeria 2
2015- Taifa stars. ? Nigeria ?

leo taifa stars inaaza rekodi mpya ya kumfunga Nigeria.
 
Taifa star washindwe wenyewe kwaani Nigeria ina timu ya kawaida sana
 

Attachments

  • 1441452569964.jpg
    1441452569964.jpg
    13.6 KB · Views: 370
Mechi ngumu haitabiriki ila mimi naona kama asiposhinda taifa stars au nigeria basi ni droo
 
Ukija Tanzania,
Na ukaambiwa ucheze na Taifa stars,
Utafungwa tu.
Na mimi nasema ufungwe tu, Maana hamna nmna nyingine. Tumechoka sasa!
 
Back
Top Bottom