Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Hii mechi TifuTifu wangeipeleka Amani kule zanzibar kama mech ya uganda
 
update 1:timu zipo uwanjani na muda si mrefu mechi inaanza
 
Mpaka sasa Taifa Stars wanacheza vizuri ila wakija kuchoka tumeumia Ulimwengu ndio mpaka sasa yupo makini na Haji Mwinyi kusikiliza mpira daaaaaaaah nyavu ndooogo
 
Back
Top Bottom