Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Sijui tatizo nini mpaka sasa hatuwafungi...!!!
 
Tukitoa draw Jamal Malinzi atarudi JF kusifia uongozi wake kwamba unafanya mambo mazuri kulazimisha draw Vs Nigeria. Wabongo huwa tunaridhika na madogo tuyapatayo zaidi ya ku-aspire kwa makubwa na mazuri

Kweli kabisa tunaridhika na mambo madogo. Droo na Nigeria itakuwa kama tumeshinda vile. Hapa inatakiwa ushindi.
 
Tukitoa draw Jamal Malinzi atarudi JF kusifia uongozi wake kwamba unafanya mambo mazuri kulazimisha draw Vs Nigeria. Wabongo huwa tunaridhika na madogo tuyapatayo zaidi ya ku-aspire kwa makubwa na mazuri

Ndio maana mastar wanaogopa sana kujiunga JF kama verified users.
Huku watu wachokozi sijapata kuona!
 
Inawezekana kabisa Wachezaji wetu wa Taifa Stars huwa hawaelewi mafundisho ya makocha wa kigeni
 
Back
Top Bottom