Sevilla zile ngoma na yale mauno waliokatiwa na wanadada wa TZ yamewaponza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mbaaaali. 😀😀Nipo Mtani mpaka sasa umeshajua maana ya Mnyama.
Waokota mpira wapi! Mbona wapo full mkoko? Wanawafanyia Simba utani. Hawapo serious.Sio Sevilla ni waokota mipira wa Sevilla
Kikosi D mkuu.Sevilla wamepanga kikosi cha tatu,timu C!
Hakika aisee Mkuu.Sevilla wanakunywa supu bado nyama watazikuta chini baadae 😂😂
SanaaaaaUmetisha!
Poa shemela jamani nimekumiss mmShemela vip
Ila still wanakimbizwaSevilla zile ngoma na yale mauno waliokatiwa na wanadada wa TZ yamewaponza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ww ulikua unawakatia??Sevilla zile ngoma na yale mauno waliokatiwa na wanadada wa TZ yamewaponza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kesho siku itakuwa ndefu.wataongea sana
Kwa mbaaaali. 😀😀
Simba 3-1 Sevilla
.
.
.
Bakuli FC semeni na hii tumenunua!
Acha tu naingia kwa kubeepNilikua nataka nkuite sasa hv!!!!!
Nije pm tuchekee[emoji23]Hakika aisee Mkuu.
HahhahahaAcha tu dada. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kikosi D mkuu.
Simba 3-1 Sevilla
.
.
.
Bakuli FC semeni na hii tumenunua!
Acha tu naingia kwa kubeep