Hata mimi hili nimewazaKocha wa simba hana uwezo ila kapata tu bahati timu inaongozwa vizuri na pesa ipo.
Mikia ndio nani wewe ajuza?
Nipe matokeoHata wakiwa wapishi wa Sevila ila ni Sevilaaa ya Spain sio ya manzese kwa mfuga mbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Wale sio seville ni mabaunsa waangalie vizuri shingoni embu wameeditiwa tu.
Ni wivu tu
Pokea Hamsaa mama ChanjaYan leo sina ham hata ya tendo la ndoa Simba mmeniweza kweli sijui baba chanja nitampaje acha nilale sebulen tu ....
Kifo hakina jinsia wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera Simba vijana mmekufa kiume
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mtoe kwa kijiti kisha endelea kunywa maziwaDAKIKA YA 90,
.
.
SIMBA 4-4 SEVILLA
Nzi kavamia glass ya maziwa ya mfalme!
Umeona eee mjini si pake [emoji23][emoji23][emoji23]La tano tayari
Simba bwana, kweli kwake porini
Akili za mbumbumbu fc aka bodaboda fc[emoji23][emoji23][emoji23]Akili za vyuraa ni shidaaa
Mmenunuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]Simba 3-1 Sevilla
.
.
.
Bakuli FC semeni na hii tumenunua!
[emoji23][emoji23][emoji23],hili jina limenichekesha aisee.Bodaboda Fc
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa watu tutalala vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Yanga tulishaanza kunyanyasika utadhani sisi ndiyo tulikuwa tunacheza.
Sasa waliocheza Leo Ni Sevilla na robotatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maweeeewe bojoSisi Simba tunayatambua matokeo ya kipindi cha kwanza tu 3-1 hayo mengine ya Kocha
Yanga ingeshinda hii mechi kwa ushindi mnonoNilisha sema mikia watafungwa