Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Wale jamaa ndani ya dk 9 za mwisho mmekula tatu,alafu hapo hawajaamua kucheza,wangecheza ule mpira wao wa kule La Liga inawezekana baada ya dk 30 vingebaki viti.
 
Huyu kocha huwa anaharibu sana kwenye sub
Sanaaa hilo ndo tatizo letu,ila kwenye ulinzi tuko hovyo hapa waparekebishe kwa kweli,hasa ukizingatia mwakani tunarudi tena kwenye mashindano ya club bingwa Afrika,la sivyo kina TP Mazembe watatunyanyasa sana.
 
Vyura mmegekula 100
Wale jamaa ndani ya dk 9 za mwisho mmekula tatu,alafu hapo hawajaamua kucheza,wangecheza ule mpira wao wa kule La Liga inawezekana baada ya dk 30 vingebaki viti.
 
Poleni sana Ndugu zangu mliokwenda uwanjani najua mmeumia sana.

Aussems hakuwaheshimu seville na ukifanya kosa kama hilo nilazima uadhibiwe.

Seville sio level ya Simba ilipaswa asifanye sub nyingi za kuwaridhisha wachezaji, najua alitaka kila mchezaji aingie kwenye kumbukumbu kua nae alishiriki lakini imeleta maumivu kiasi.

Yote kwa yote ilikua burudani tosha.
Mwisho Aussems siku nyingine uache huu upuuzi.
 
Wabongo wanasema Simba alikua amekamia mechi! kama ulikua makini hata Sevilla nae alikua kakamia haiwezekani Dk5 goli 3 alafu useme hajakamia
 
Sisi Simba tunayatambua matokeo ya kipindi cha kwanza tu 3-1 hayo mengine ya Kocha
 
Back
Top Bottom