Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kocha Mzungu uchebe naona kaleta Mambo ya Vasco Da Gama
Kawasaidia wazungu wenzie
 
Timu zetu za Africa huwa tuna mda wa kurelax ukiona unashinda, ila ulaya hata dk mbili nyingi sana
Sanaaa hilo ndo tatizo letu,ila kwenye ulinzi tuko hovyo hapa waparekebishe kwa kweli,hasa ukizingatia mwakani tunarudi tena kwenye mashindano ya club bingwa Afrika,la sivyo kina TP Mazembe watatunyanyasa sana.
 
Game ilikua ya kirafiki...hatupaswi kulaumu Sana..timu haiko vibaya kihivyo ni makosa madogo madogo ya baadhi ya wachezaji..
 
Back
Top Bottom