Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mkuu vumilia tu! Ndio mpira huoyan Kocha ni Mxenge wa mwisho qhuma ma make..
Ela yangu yote imeenda Pumbavu sana, Mo fukuza huyo ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vumilia tu! Ndio mpira huoyan Kocha ni Mxenge wa mwisho qhuma ma make..
Ela yangu yote imeenda Pumbavu sana, Mo fukuza huyo ..
kwa jinsi nilivyochukia leo bora cjaenda uwanjani..Bka shoga manina zake limenikera
Kocha kanunuliwa haiwwzekani awatoe wachezaji wa maana!!
Hahaha kaniudhi kaharibu P!!Friend match nayo mkuu una hasira hv?
We acha tu yan hela nimeliwa kote kote hadi inplayMkuu vumilia tu! Ndio mpira huo
Hamsa ya tatu msimu mmoja huu ni zaidi ya uchanguIla watani zangu mnapenda sana Khamsa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamsa ya tatu msimu mmoja huu ni zaidi ya uchangu
Sanaaa hilo ndo tatizo letu,ila kwenye ulinzi tuko hovyo hapa waparekebishe kwa kweli,hasa ukizingatia mwakani tunarudi tena kwenye mashindano ya club bingwa Afrika,la sivyo kina TP Mazembe watatunyanyasa sana.Timu zetu za Africa huwa tuna mda wa kurelax ukiona unashinda, ila ulaya hata dk mbili nyingi sana
Tatizo mzigo ndugu, stake niliyoweka ndo inaniuma..Friend match nayo mkuu una hasira hv?
Faraja ya kukosa hata kikombe cha uji imepatikana... kazi mnayo!!Mjini kimya,hakuna kumcheka mtu. Amani na itawale