Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
[emoji23]Kwa matako yako
Bila khamsa huwa hawajisikii vzr[emoji23][emoji23][emoji23]Maboda boda kama kawaida yenu kupigwa khamsa khamsa
Simba imekuwa hivi, wewe si tungeshindwa kuhesabu idadi??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa watu tutalala vizuri
Duh hawa jamaa kipindi cha kwanza walikuwa kama wanafanya warm up huku mikia wakikimbia kama ni fainali ya kombe . Halafu magoli wanafunga kama wanatumia rula na peniFull time: Simba 4-5 Sevilla
Hapana mkuu tiririka kwanza kuhusu hawa madereva boda
Kachaaaaaaaah......Dah walikuwa wanatunyegeza kumbe washaseti mda wa kukojoa.
Shadeeeeeeeeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntarudi kesho jamaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ama kweli Mtoto yake nepi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inaboakwa kweli
Mfupa umshinde fisi atauweza mbwa??Yanga ingeshinda hii mechi kwa ushindi mnono
Ingekuwa TASAF fc A.K.A vyura Fc a.k.a Mbute fc a.k.a ndala fc a.k.a khamsa yetu ambayo Tuliwapiga hamjairudishaga A.k.a Washiri wa ligi.Hamsaa
Huku ni shwariii mtaani pametulia, simba wote kimyaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Cute b, habari za huko?
@Wastend [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1105882
Amen!!Haleluyaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pokea Hamsaa mama ChanjaIngekuwa TASAF fc A.K.A vyura Fc a.k.a Mbute fc a.k.a ndala fc a.k.a khamsa yetu ambayo Tuliwapiga hamjairudishaga A.k.a Washiri wa ligi.
Mngepigwa ngapi? Ligi za CAF na hata timu kubwa mtaendelea kuziona tu zikichezwa na mnyama, kumbuka Simba imecheza mechi juzi tu hapa ingekuwa Mbute sijui ingekuwaje
Nakazia..Mikia wasipokojozwa hamsa huwa hawaridhiki
Daah seriously watu wamefurahi ...aisee na wakat wenzenu akaunti zimenona huko kwa game ya leo tu ...na kuonekana kwenye tv station kubwa duniani ya super sport ..heheheHuku ni shwariii mtaani pametulia, simba wote kimyaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sasa boss, ulitaka tunune .Daah seriously watu wamefurahi ...aisee na wakat wenzenu akaunti zimenona huko kwa game ya leo tu ...na kuonekana kwenye tv station kubwa duniani ya super sport ..hehehe