Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

[emoji23][emoji23]uzalendo my foot.. Saivi na amani dah
255659633373_status_880fc036b1954dca92a66e7a096f522c.jpeg
 
Ntarudi kesho jamaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ama kweli Mtoto yake nepi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shadeeeeeeeeya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ingekuwa TASAF fc A.K.A vyura Fc a.k.a Mbute fc a.k.a ndala fc a.k.a khamsa yetu ambayo Tuliwapiga hamjairudishaga A.k.a Washiri wa ligi.
Mngepigwa ngapi? Ligi za CAF na hata timu kubwa mtaendelea kuziona tu zikichezwa na mnyama, kumbuka Simba imecheza mechi juzi tu hapa ingekuwa Mbute sijui ingekuwaje
 
Pokea Hamsaa mama Chanja
tapatalk_1558636505474.jpeg
 
Huku ni shwariii mtaani pametulia, simba wote kimyaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Daah seriously watu wamefurahi ...aisee na wakat wenzenu akaunti zimenona huko kwa game ya leo tu ...na kuonekana kwenye tv station kubwa duniani ya super sport ..hehehe
 
Daah seriously watu wamefurahi ...aisee na wakat wenzenu akaunti zimenona huko kwa game ya leo tu ...na kuonekana kwenye tv station kubwa duniani ya super sport ..hehehe
Sasa boss, ulitaka tunune .
Itasaidia nini hata tukinuna? Hawataingiziwa hela?
 
Back
Top Bottom