Sasa boss, ulitaka tunune .
Itasaidia nini hata tukinuna? Hawataingiziwa hela?
Kumbe nyie ni fisi sio simba tena!!?Mfupa umshinde fisi atauweza mbwa??
Tamaa mbaya sana. Unafikiri ni kazi rahisi sana kwa hatua ile!!??
Bwege nazi wewe Simba Bingwa wa Tanzania mpaka 2026Pokea Hamsaa mama Chanja View attachment 1105988
Hata friend match wanaroga, hawana dogo wazee wa mbeleko, wamepigwa tano kama kawaida yao. Vita 5, Al Ahly 5,Sevila 5.Bingwa wa mbeleko
Pokea HamsaaBwege nazi wewe Simba Bingwa wa Tanzania mpaka 2026
Bodaboda Fc
Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
Woyooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Nimegundua bodaboda,kuomba viatu na khamsa za kutosha
Tyombana wax mogange ndezu.Pokea Hamsaa
Jidanganye kenge ww Chakubanga
Pokea kitu Tulia tuliii
Endelea na ujinga wako huko Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu laana NyieTyombana wax mogange ndezu.
(Yani unamegwa mpaka.....)
Acha uzoba timu bora Tanzania ni Simba sc kama unataka battle ya matusi hapa umefika karibu sana
Yanga mnaombewa mechi na Twiga stars tuone kama mtachomoka?..Duh hawa jamaa kipindi cha kwanza walikuwa kama wanafanya warm up huku mikia wakikimbia kama ni fainali ya kombe . Halafu magoli wanafunga kama wanatumia rula na peni
Stori inabaki ile ile kama ya mazembe ’tulijaribu ‘
Mtoto mdogo hatumwi dukani
Nimegundua kwamba umechochora hapo kwa Mbabane. Ni Swaziland mkurugenzi.Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
Changieni timu yenu.. Lini nyie mtacheza Sevilla?Sasa boss, ulitaka tunune .
Itasaidia nini hata tukinuna? Hawataingiziwa hela?