Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

59618315_311282489801025_6366837059674141325_n.jpg
 
Tanzania Amebaki Yanga mmoja tu mwenye akili ambaye ni Mzee Akilimali
Waliobakia wote wana akili za Vyura kupiga kelele ovyo kwa yasiyowahusu
 
Hawa sipoti pesa sidhani kama watapata mikeka tena ya timu ya wananchi
 
Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
 
Nimegundua bodaboda,kuomba viatu na khamsa za kutosha
Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
 
Sevilla Fc kakubali goli nne kwa Simba Fc... yaaani .. Arbaa. Four goals.Goli nne. Mabingwa wa kihistoria wa Europa league.

Hasidi hana sababu. Naipongeza Simba killa mmoja atakubaliana nami bila subs zile Sevilla angefungwa.
Mechi ilikuwa nzuri tumeona magoli tisa.
Na mechi hii imetoa tathmini ya kufanya marekebisho kwenye kikosi cha Simba hassa sehemu za beki za pembeni na ulinzi.
Wasio jua mpira waache waseme.
 
Pokea Hamsaa
Jidanganye kenge ww Chakubanga
Pokea kitu Tulia tuliii
Tyombana wax mogange ndezu.

(Yani unamegwa mpaka.....)
Acha uzoba timu bora Tanzania ni Simba sc kama unataka battle ya matusi hapa umefika karibu sana
 
Tyombana wax mogange ndezu.

(Yani unamegwa mpaka.....)
Acha uzoba timu bora Tanzania ni Simba sc kama unataka battle ya matusi hapa umefika karibu sana
Endelea na ujinga wako huko Nipo hapa Denmark nakula maisha tuu Pambaneni na hali zenu laana Nyie
Pokea Hamsaa mama Chanja
tapatalk_1552155620493.gif
 
Duh hawa jamaa kipindi cha kwanza walikuwa kama wanafanya warm up huku mikia wakikimbia kama ni fainali ya kombe . Halafu magoli wanafunga kama wanatumia rula na peni
Stori inabaki ile ile kama ya mazembe ’tulijaribu ‘
Mtoto mdogo hatumwi dukani
Yanga mnaombewa mechi na Twiga stars tuone kama mtachomoka?..
 
Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
Nimegundua kwamba umechochora hapo kwa Mbabane. Ni Swaziland mkurugenzi.
 
Back
Top Bottom