Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Mkuu.37 kwa 63
Aliyeona ile ball possession aniambie jamaani. ππππ
Nishakuwacha Mtani. πππNiwache niinjoi mimi
Simba wana37[emoji16][emoji16]Aliyeona ile ball possession aniambie jamaani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nani kapiga 2Jaman 2 kwa 1
Hahahaaaa. Magoli hayo rafiki.Vipi tena
Simba wana2Nani kapiga 2
Mkuu nimecheka kwa sauti lol.Alafu alivofunga amepenga makamasiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio best na la pili lipo njiani. πππUmepata moja best
Ila wajameni wazungu wanadharau haaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]hayashangilii yanapenga makamasi..... Inamaana sisi nimakamas lalalalal[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimecheka kwa sauti lol.
Ni ishara ya nini kwani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nimecheka kwa sauti lol.
Ni ishara ya nini kwani? πππ