Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Kutoka uwanja wa Taifa: Simba SC 4 - 5 Sevilla FC

Hata friend match wanaroga, hawana dogo wazee wa mbeleko, wamepigwa tano kama kawaida yao. Vita 5, Al Ahly 5,Sevila 5.
LIGI kuu holaaa
FA holaaa
SportPesa holaaa
Mapinduzi cup holaaa..
Yanga mnaweza nini nyie chura wa topeni.. Kila bwana wenu sasa hv.
 
Simba Vs Mbabane Swallows (botswana)
Simba Vs Nkana Red Devils (zambia)
Simba Vs Js Soura (algerie)
Simba Vs Al Ahly (Egypt)
Simba Vs As Vita (Congo)
Simba Vs Tp Mazembe (Congo)
Simba Vs Sevilla (Spain)
...............................
Yanga Vs Sumbawanga Fc
Yanga Vs Biashara
Yanga Vs Namungo
Yanga Vs Lipuli
Yanga Vs Njombe Mji
Yanga Vs Jkt Tanzania
Yanga Vs Mbao Fc,,,
Umegundua Nini Apo Mdau
Nimegundua Yesu ni mzungu ,shetani ni mwafrika.
Yanga kazi mnayo!
 
Denmark ya Mavi[emoji21]

King'asti mkata uno wewe
Ni wivu tuu
Timu mikia
Pokea Hamsaa mama Chanja baada ya miez tisa Nataka mapacha
tapatalk_1558636505474.jpeg
 
Unamegwa mkusti fala wewe kiamba mkumba mkubwa wewe
Naona mimba inakusumbua mama Chanja
Ebu lamba ndimu, kunywa maji, halafu pumzika kwenye kivuli usiharibu mimba yng nimekupiga Vitano ujue Sio mchezo
Hali ukiwa mbaya Sana Mama Chanja lamba lolo
 
Naona mimba inakusumbua mama Chanja
Ebu lamba ndimu, kunywa maji, halafu pumzika kwenye kivuli usiharibu mimba yng nimekupiga Vitano ujue Sio mchezo
Hali ukiwa mbaya Sana Mama Chanja lamba lolo
kyuuma kinoko, Lushindo lwa noko mamaee
 
kyuuma kinoko, Lushindo lwa noko mamaee
Sishangai Sana Ndiyo tabia ya mimba changa mama Chanja Ucjal Mke wangu ni hali ya Kawaida itaisha tuu vumilia
Au nikutumie ticket ya kuja Denmark mpenz
Hongera Bby uliweza kuvumilia Vitano wengine hawawez kabsaa
Maumivu yakizidi lamba ndimu mpenz
 
Bora kama hukwenda estadio de mkapa..!

Nimeenda nimetoka nimemind though tumejitahidi.
sio tumejitahidi, sema tumecheza mpira mwingi na tumewatoboa goli nne
aliyetuangusha ni refa alieongeza dk 5 hakua na nia nzuri na simba, achana na vyura fc ambao ata hawajaangalia mpira wameuskiliza redion

YANGA SUBIRINI NDONDO CUP INAANZA MKASHIRIKI
 
Back
Top Bottom