Kutoka vipele kwenye uume

Kutoka vipele kwenye uume

usihofu. Ni mzio tu huo na utakwesha. Ila tagu februari mwaka jana! Unaishi jangwani? Au una nadhiri? Kama sio shemasi tafuta mdau ndugu yangu
 
Mkuu nishapata tatizo kama hilo, nilikunywa metakelfin muda wa saa sita na nusu ya mchana, kuanzia saa kumi mwili uliharibika hasa sehemu hizo ulizozitaja, nilipanic maana nilikuwa sijawahi kufikiria magonjwa ya zinaa, sikuweza hata kuvaa suruali ama nguo za ndani ilibidi nivae LUNGI ya kihindi na kukimbizwa hospitali, kwenda pale madaktari wakaniambia ni allergy ya Sulphur iliyomo katika Metakelfin, kuanzia hapo nikapewa dawa za kupunguza sumu hiyo na kukatazwa kutotumia dawa zozote zile zenye sulphur. Nakushauri nenda kuonana na Daktari atakupa ushauri na dawa ya kupunguza hali hiyo na pengine kukushauri kama walivyonishauri mimi juu ya sulphur.Pole
 
Pole sana mkuu. Ila kama hujafanya mapenzi toka february nadhani ni uume unakupa alert kwamba upo na unaitaji mambo yetu yale. Au la uume umeamua kutoa mbegu kwa njia ya vipele. Mwisho nikupe hongera ya kushinda vishawishi.
 
Habari wanajf? Mimi ninavipele vyeupe mbele ya uume(pale kinapoishia ''kichwa'' from anterior) mniwie radhi kwa lugha iliyotumika. Vipele kama nilivyosema ni vyeupe lakini ukipasua havina usaha na wala haviumi. Swali langu ni kwamba,je hilo ni tatizo na nini tiba yake?
 
ugoniwa huo, muone daktari haraka, usitegemee majibu ya wana jf. watakuchelewesha bure kupata tiba.
 
ugoniwa huo, muone daktari haraka, usitegemee majibu ya wana jf. watakuchelewesha bure kupata tiba.


Inawezekana mkuu yalishakukuta haya ya kucheleshwa hapa jf doctors eeh ?!
Tupe uzoefu wako mkuu ! Na kwann bado unaingia huku kwa wazugaji (labda) ?!
Kazi kwelikweli!
 
Kama una mali anza kuandika urithi kaka
 
Back
Top Bottom