Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
kwa kawaida kwenye kichwa cha uume kunakuwa na vipele vidogo dogo ambavyo vinasaidi kuongeza sensitivity kazini , nahisi huenda vikawa ndo vinyewe espl kama haviumi wala kutoa usaha unless otherwise viwe vikubwa sana vya kutisha!
ni vidogo ila vinaonekana kwa sababu vyeupe,haviumi ila vinanifanya nisiwe confortable nnapokuwa faragha na mamaa.mwanzoni nilizan wenda ni STD but nimefanya vpimo vyote ikiwemo na h.i.v niko fit,cjajua bado vimesababishwa na nini coz ni mda sasa haviishi