kipipili
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 1,587
- 186
Nna vipele vidogovidogo vyeupe chini ya kichwa cha uume sasa yapata mwaka m1.Nimeenda kwa madokta wawili tofauti nikiwapa maelezo wananiambia nichukue kipimo cha magonjwa ya zinaa,majibu yanakuja 'no reaction' so wanajf naomba msaada wa mawazo yenu inaweza ikawa tatizo gani.haviumi wala kutoa usaha,vipimo vikubwa pia nishafanya.
weka picha tudadavue