Kutoka vipele kwenye uume

Kutoka vipele kwenye uume

kwa kawaida kwenye kichwa cha uume kunakuwa na vipele vidogo dogo ambavyo vinasaidi kuongeza sensitivity kazini , nahisi huenda vikawa ndo vinyewe espl kama haviumi wala kutoa usaha unless otherwise viwe vikubwa sana vya kutisha!

ni vidogo ila vinaonekana kwa sababu vyeupe,haviumi ila vinanifanya nisiwe confortable nnapokuwa faragha na mamaa.mwanzoni nilizan wenda ni STD but nimefanya vpimo vyote ikiwemo na h.i.v niko fit,cjajua bado vimesababishwa na nini coz ni mda sasa haviishi
 
dadangu hana vipele, ila nahisi mkeo nae atakua navyo mchunguze
 
labda ungeweka picha ya uchi wa dadaako

Kama Kichaa akikukuta unaoga, akachukua nguo zako na kukimbia nazo, ukianza kumfukuza wewe ndiye utakayeonekana kichaa, maana yeye atakuwa amevaa na wewe utakuwa uchi. Sasa achana na huyu kichaa.
 
Well said Mkuu
 
nimependa haya maneno ya busara
 
mods!
Majukwaa kama haya hasa ya doctor,tech and gadgets ni ya muhimu sana lakini kuna wapuuzi wanakua wanaleta ujinga wao naomba muwe mnawapa ban hata ya miezi mitatu ili kuwatia adabu...
Hebu fikiria mtu umeenda kwa daktari halafu ndio uwe unajibiwa ujinga kama huu mgonjwa utajisikiaje?? Tuwe waungwana masikhara yawepo lakini sio kwenye afya zetu...

pamoja sana mkuu!
 
mi nadhani havina madhara,nakumbuka kipindi cha nyuma nilikua naviona viwili hapa chini kwangu lakini siku hizi sivioni kabisa na wala sikuwahi kwenda kwa dokta yoyote.endelea kulitumia jembe ipasavyo vyenyewe vitaisha
 
Wewe kweli ni babukijana..
 
mi nadhani havina madhara,nakumbuka kipindi cha nyuma nilikua naviona viwili hapa chini kwangu lakini siku hizi sivioni kabisa na wala sikuwahi kwenda kwa dokta yoyote.endelea kulitumia jembe ipasavyo vyenyewe vitaisha

tehe tehe babukijana we noma,yaan ulivisugulisha kwenye msasa hadi vikaisha?!
 
Back
Top Bottom