Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe umepata platform unapaswa kueleza utatufanyia nini watanzania na si kutukana wapinzani. Katika hilo unamapungufu kuliko yeyote aliyetangaza nia huko ccm. Kama ni mtihani ww ni wa mwisho darasani(kati watangaza nia wote)
 
Its time for northern to provide a CEO for the highest office in the Land.
 
Mwacheni ajaribu bahati yake. Hamjui Mungu amempangia nini.
 
Anaimba nyimbo kuisifu mizimu ya kikwao
 
What a waste! Kutumia gharama kubwa namna hiyo halafu kuongea upuuzi mtupu
 
Hadi sasa sijaona hapo CCM ,naona ushabiki tu na vijembe.. Kama huyu wa leo ndio kavunja rekodi za pumba
 
Hatuwezi kuwa na rais mkabila na mkanda kama Membe
 
Amesema atapigania haki miliki za wanariadha....mwenye ufafanuzi asaidie haki miliki ya mwanariadha ni zipi ? au mmoja akishashinda mbio kwa dakika 10 sekunde saba apewe haki miliki ili mwingine asitumie tena muda huo.
 
Huyu jamaa anategemea sana mizimu kwenye siasa. Anaita mizimu ya kwao sasa
 
Back
Top Bottom