Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Ni bora ale pensheni bila kelele amwache Mzalendo Magufuli aijenge Nchi
 
Mleta mada anampenda Membe mpaka anajikojolea!

Usijali mtaletewa awe mgombea wenu hapo ufipa 2020
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Ni bora ale pensheni bila kelele amwache Mzalendo Magufuli aijenge Nchi

😂 😂 Yan ela za Watanzania zilikuwa Libya au? Unaporaje ela za inchi nyingine kutoka inchi nyingine?
 
Mleta mada anampenda Membe mpaka anajikojolea!

Usijali mtaletewa awe mgombea wenu hapo ufipa 2020
Aisee akagombee huko huko CCM au ACT,huku CDM Lissu anatosha sana na hata asipogombea yeye bora hata wakina heche wagombee ila kapi la Ccm hatulitaki.
 
Kile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa, tupu zenu zipo nje
Mtaendelea kunyooshwa
Kama vile tupu zenu zilivyobaki wazi baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindwa
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Ni bora atulie tu ale pensheni bila kelele amwache Mzalendo Magufuli aijenge Nchi
 
- Kiongozi unajisikia raha gani kuingia Ikulu kwa kununua Urais,tununue vyeo vingine lakini sio Ikulu.Ikulu hainunuliki.
Major flaw!!! Kosa kubwa la kiufundi. Anakiri vyeo vinanunulika...na hatoi way forward kudhibiti hili.
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Ni bora atulie tu ale pensheni bila kelele amwache Mzalendo Magufuli aijenge Nchi
Imshtaki tu
 
Back
Top Bottom