Sdebaseboy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 778
- 248
Mmmh!
Hapo kazi ipo kwa mheshimiwa mtia nia
Hapo kazi ipo kwa mheshimiwa mtia nia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati mc akimkaribisha joji khama kwenye jukwaa kuongea kwenye mkutano wa kutangaza nia amenukuliwa ''joji khama ndo alikua akitumwa na mwlimu kwenda kufuatilia mipango ya mapinduzi''
wakuu,
mtakumbuka juzi wakati anatagaza nia pale lindi, bernard membe alishindwa kujieliza au kujenga hoja za maana za kushawishi wana-ccm wenzake ili waweze kumpitisha kuwania urais, kuna taarifa mpya kwamba, tayari amishatonywa kuwa ndiye atakayeteuliwa ndiyo maana alikuwa anaongea utadhani tayari amishapitishwa kugombea urais au tayari ni rais, vile vile, bernard membe alionekana kutokuwa makini na tukio lenyewe pale aliposema anagombea urais mwaka 2010 badala ya 2015 na kurudia zaidi ya mara 4 sentensi hii, pia alikosa umakini na kutokujua dhamira ya tukio la siku hiyo ambapo lilikuwa ni mahsusi kwa ajili ya kutangaza nia na kuwaomba wanaccm wenzake wamuunge mkono..yeye akaenda zaidi hadi kwa ukawa....
Kwa kweli bernard membe ni dhaifu sana labda viongozi wa juu wa ccm wanapenda mtu kama huyu ndo awe mgombea wao lakini kama wpo serious basi makongoro nyerere, magufuli, mwigulu, mwandosya, mhongo au wasira au january wanafaa.
Mkuu washauri stategists wake. Naamini wanapita humu.