Membe anatangazia nia Lindi na kusema kuwa kwa sasa ni zamu ya Lindi kutoa rais. Tangu lini uongozi wa nchi hii ukaw wa zamu? CCM badala ya kujenga umoja wa taifa mnaanza na siasa za utengano. Tusishangae Membe akaamishia ikulu Lindi kwa vile mambo ni kwa zamu