Kutoka Xinjiang hadi Ningxia, jinsi ninavyoona uhuru wa kuabudu dini nchini China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
2.jpg

QQ图片20220413143622.jpg

Kadiri siku zinavyosonga mbele, uhuru wa watu kuabudu dini nchini China unazidi kuwa mkubwa. Na hii inatokana na sera nzuri za China katika masuala ya dini, kwani katiba ya China katika kifungu chake cha 36 inaeleza waziwazi kuwa “wananchi wana uhuru wa kuamini dini watakazo”. Serikali ya China inatambua dini tano zikiwemo dini ya Kibuddha, Kikatoliki, Kidao, Kiislamu na Kiprotestant.

Katika muda wote ambao nipo hapa China, nami nikiwa miongoni mwa waumini wa dini yaani ya Kiislamu, pia nafurahia uhuru huo wa kuabudu dini pamoja na Waislamu wenzetu wenyeji. Katika baadhi ya mikoa au miji unaweza usione sana shughuli za Kiislamu, kwasababu wengi wao wanapatikana katika mikoa ya Xinjiang, Ningxia, Gansu na Qinghai, na mjini Beijing wapo lakini ni wachache.

Miongoni mwa miji niliyowahi kutembelea China ikiwemo Xinjiang, Ningxia na Gansu, hii ina asilimia kubwa ya waislamu, ambapo nimebahatika kujionea kwa macho yangu jinsi waislamu wa sehemu hizo walivyo huru katika kuabudu dini. Wakati nilipokuwa Ningxia mwanzoni sikuamini kama nipo kwenye mji wa China, nilihisi kama nipo nyumbani Zanzibar. Nasema hivi kwasababu kila kona unayopita unaona wanawake wakiwa wamejisitiri kwa kujitanda hijabu huku wengine wakivaa mabaibui, na wanaume wakiwa wamevaa kofia almaarufu kama vibaraghashia. Na hata wenyeji wa mji wa Ningxia walipoona na mimi nimejitanda kama wao, mwanzoni walishangaa sana na kuniuliza kama na sisi Waafrika pia tunaamini dini ya Kiislamu pamoja na kujisitiri kwa kuvaa hijabu kama wao. Unaweza kujiuliza kwanini wanauliza swali kama hili, lakini walikuwa wanaonesha furaha yao, baada ya kuona mgeni ambaye amewatembelea ana imani ya dini kama wanayoamini wao.

Kwa kuwa nilikaa katika mji huo kwa muda wa wiki kama moja hivi, nilishuhudia mambo mengi sana yanayofanana na nyumbani yakiwemo wingi wa misikiti, vyakula vyote ambavyo ni halali yaani mtu hana haja ya kuchagua migahawa maalumu ya Kiislamu kwani yote inaendeshwa kwa taratibu za Kiislamu, vyuo vya Kiislamu n.k.

Katika mkoa wa Xinjiang, nako halikadhalika Waislamu wametapakaa kila mahali, na ibada nyingi za Kiislamu hufanyika, kama vile kuswali, kufunga, kutoa mafundisho ya dini kwenye madrasa na vyuo. Kwa mujibu wa Naibu Mkuu wa Chuo cha Dini ya Kiislamu cha Xinjiang ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa Shirikisho la Kiislamu la Xinjiang, Bwana Muhtiran, wakati naongea naye aliniambia kuwa kila mtu mjini Xinjiang ana uhuru wa kuabudu dini, awe Muislamu ama awe na dini nyingine, kwasababu anasema hii ni sera ambayo ipo kwenye katiba.

Bwana Muhtiran alinifumbua macho kwa jambo moja, kwamba vyuo vya Kiislamu na misikiti inajengwa na serikali kuu, na baadaye shughuli za usimamizi wanaachiwa waislamu wenyewe, kwasababu serikali inaamini kuwa waislamu ndio watakaokuwa waendeshaji wazuri. Mara nyingi tumezoea kuona kwamba vyuo kama hivi vya Kiislamu ama misikiti huwa inajengwa na mashirika binafsi yanayotoa ufadhili, lakini kwa hapa China ni tofauti kabisa, serikali yenyewe ndio inabeba jukumu hilo, ili kuhakikisha watu wake wana uhuru wa kuabudu na pia wana nyenzo na miundombinu ya kuwasaidia kuabudu kwa uhuru zaidi.

Shirikisho la Kiislamu la China, kwa upande wake pia linatoa mchango mkubwa katika kuhimiza waumini wa Kiislamu kuabudu bila kuvunja sheria za nchi na pia kuwapanga waislamu kwenda Makka kuhiji miongoni mwa kazi zake nyingine. Shirikisho hili pia lina kazi ya kuandaa sherehe za Iddi hasa Eid al Adha kwa Waislamu wenyeji na wageni.

Katika sherehe hizi ambazo mimi binafsi pia nimeshahudhuria mara nyingi tu baada ya kualikwa na Shirikisho la Kiislamu la China, wageni na wenyeji wanapata fursa ya kujuana na kubadilishana mawazo kuhusu dini, huku wakionja vyakula vitamu na vinywaji.

Kwa ujumla mimi nikiwa Muislamu ambaye nipo hapa China kwa muda mrefu sana, na kushuhudia Waislamu wenzangu wageni na wenyeji wakiwa huru katika kuabudu dini, inanipa faraja kubwa na kunipa ujabari wa kuikingia kifua China kwa sera zake nzuri zinazoruhusu watu kuwa huru kabisa kuabudu huku wakifuata sheria.
 
Ni vema na haki

Ila uhuru wa kuabudu uendane na uhuru wa kutokuabudu..., Yaani Imani yangu au yako isiwe kero kwa mwingine...

Sio ninakuajiri kama mlinzi wangu alafu unalala eti umechoka sababu umefunga sijui kwaresma au ramadhani...., Au nakupa contract unifanyie kazi eti unatoka mapema au unachelewa sijui ulipitia kwenye Jumuiya...

Yaani kiufupi inabidi imani yako isinihusu mimi wala isiwe kero ndio maana napenda sana msimamo wa Serikali yangu ambayo haina dini ingawa wananchi wake ndio wana dini
 
Vp kuhusu zile Detention center za wale waislam, hujapata kusikia malalamiko yoyote au ni special kwa ajili ya waislam wa kichina tu?
 
Wao wa China wanaoa mke mmoja na kuzaa mtoto mmoja au wawili, tunaingia tunao oa wake wa nne na kuzaa hatuna kikomo kwani tu naamini kwamba kila mtoto anakuja na Riziki yake, naamini baada ya miaka 20 mbele hali itakua zaidi ya hapo ilivyo sasa
 
View attachment 2185851

View attachment 2185849

Kadiri siku zinavyosonga mbele, uhuru wa watu kuabudu dini nchini China unazidi kuwa mkubwa. Na hii inatokana na sera nzuri za China katika masuala ya dini, kwani katiba ya China katika kifungu chake cha 36 inaeleza waziwazi kuwa “wananchi wana uhuru wa kuamini dini watakazo”. Serikali ya China inatambua dini tano zikiwemo dini ya Kibuddha, Kikatoliki, Kidao, Kiislamu na Kiprotestant.

Katika muda wote ambao nipo hapa China, nami nikiwa miongoni mwa waumini wa dini yaani ya Kiislamu, pia nafurahia uhuru huo wa kuabudu dini pamoja na Waislamu wenzetu wenyeji. Katika baadhi ya mikoa au miji unaweza usione sana shughuli za Kiislamu, kwasababu wengi wao wanapatikana katika mikoa ya Xinjiang, Ningxia, Gansu na Qinghai, na mjini Beijing wapo lakini ni wachache.

Miongoni mwa miji niliyowahi kutembelea China ikiwemo Xinjiang, Ningxia na Gansu, hii ina asilimia kubwa ya waislamu, ambapo nimebahatika kujionea kwa macho yangu jinsi waislamu wa sehemu hizo walivyo huru katika kuabudu dini. Wakati nilipokuwa Ningxia mwanzoni sikuamini kama nipo kwenye mji wa China, nilihisi kama nipo nyumbani Zanzibar. Nasema hivi kwasababu kila kona unayopita unaona wanawake wakiwa wamejisitiri kwa kujitanda hijabu huku wengine wakivaa mabaibui, na wanaume wakiwa wamevaa kofia almaarufu kama vibaraghashia. Na hata wenyeji wa mji wa Ningxia walipoona na mimi nimejitanda kama wao, mwanzoni walishangaa sana na kuniuliza kama na sisi Waafrika pia tunaamini dini ya Kiislamu pamoja na kujisitiri kwa kuvaa hijabu kama wao. Unaweza kujiuliza kwanini wanauliza swali kama hili, lakini walikuwa wanaonesha furaha yao, baada ya kuona mgeni ambaye amewatembelea ana imani ya dini kama wanayoamini wao.

Kwa kuwa nilikaa katika mji huo kwa muda wa wiki kama moja hivi, nilishuhudia mambo mengi sana yanayofanana na nyumbani yakiwemo wingi wa misikiti, vyakula vyote ambavyo ni halali yaani mtu hana haja ya kuchagua migahawa maalumu ya Kiislamu kwani yote inaendeshwa kwa taratibu za Kiislamu, vyuo vya Kiislamu n.k.

Katika mkoa wa Xinjiang, nako halikadhalika Waislamu wametapakaa kila mahali, na ibada nyingi za Kiislamu hufanyika, kama vile kuswali, kufunga, kutoa mafundisho ya dini kwenye madrasa na vyuo. Kwa mujibu wa Naibu Mkuu wa Chuo cha Dini ya Kiislamu cha Xinjiang ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa Shirikisho la Kiislamu la Xinjiang, Bwana Muhtiran, wakati naongea naye aliniambia kuwa kila mtu mjini Xinjiang ana uhuru wa kuabudu dini, awe Muislamu ama awe na dini nyingine, kwasababu anasema hii ni sera ambayo ipo kwenye katiba.

Bwana Muhtiran alinifumbua macho kwa jambo moja, kwamba vyuo vya Kiislamu na misikiti inajengwa na serikali kuu, na baadaye shughuli za usimamizi wanaachiwa waislamu wenyewe, kwasababu serikali inaamini kuwa waislamu ndio watakaokuwa waendeshaji wazuri. Mara nyingi tumezoea kuona kwamba vyuo kama hivi vya Kiislamu ama misikiti huwa inajengwa na mashirika binafsi yanayotoa ufadhili, lakini kwa hapa China ni tofauti kabisa, serikali yenyewe ndio inabeba jukumu hilo, ili kuhakikisha watu wake wana uhuru wa kuabudu na pia wana nyenzo na miundombinu ya kuwasaidia kuabudu kwa uhuru zaidi.

Shirikisho la Kiislamu la China, kwa upande wake pia linatoa mchango mkubwa katika kuhimiza waumini wa Kiislamu kuabudu bila kuvunja sheria za nchi na pia kuwapanga waislamu kwenda Makka kuhiji miongoni mwa kazi zake nyingine. Shirikisho hili pia lina kazi ya kuandaa sherehe za Iddi hasa Eid al Adha kwa Waislamu wenyeji na wageni.

Katika sherehe hizi ambazo mimi binafsi pia nimeshahudhuria mara nyingi tu baada ya kualikwa na Shirikisho la Kiislamu la China, wageni na wenyeji wanapata fursa ya kujuana na kubadilishana mawazo kuhusu dini, huku wakionja vyakula vitamu na vinywaji.

Kwa ujumla mimi nikiwa Muislamu ambaye nipo hapa China kwa muda mrefu sana, na kushuhudia Waislamu wenzangu wageni na wenyeji wakiwa huru katika kuabudu dini, inanipa faraja kubwa na kunipa ujabari wa kuikingia kifua China kwa sera zake nzuri zinazoruhusu watu kuwa huru kabisa kuabudu huku wakifuata sheria.
Ukatoliki na uprotestant sio dini, ni madhehebu. Dini ni ukristo.
 
huyo kwenye picha ndo wewe?
 
Sijamaliza kusoma yote Sasa wewe kama muislamu unafurahia uhuru wa kuabudu nchini china kwa nini hausikitiki uarabuni kulazimisha watu wote wawe waislamu, kwa nini uarabuni walazimishe imani wakati tunambiwa mungu atahukuumu waliokataa dini huku warabu wanawahukumu watu wakiwa hai muda mwingine mpaka kuua.
Nchi za kiislamu zinalazimisha sheria zifuatwe kwa nguvu.
 
Vipi Waislamu wa Uyghur? Naona umetufanya wajinga hatujui kinachoendelea huko sababu ni wazi wewe unachofanya ni kuendeleza propaganda za enzi ya WAKOMUNISTI na uwongo kuwa kila kitu kipo shwari China. Huna hata haya? Umeunuliwa wewe!
 
Ni kweli Hata mimi naamini,Kuna Mji kama Xi'An kuna Kitongoji huko ni waislamu watupu ni misikiti ya kutosha!
 
Ila tambua uislam china hautakiwi hao unaowaona watakuwa sio wazawa ni wakuja na kuondoka nakuhakikishia hilo china uislam hautakiwi coz din hiyo inaongoza kufanya watu wawe masikini mfano tu ni hilo jimbo la xian sijui kama nimetamka vizuri lina waislam wengi but ndio masikini wakutupa wengi wanasema dini yao hairuhusu hilo likapelekea china kuwa hawataki din hiyo usiongee kitu ambacho sio kweli ili ujifularahishe tu kwakuwa nawewe ni muislam🤣🤣😂😂 ungesema wakristo ni wengi ningekuelewa coz china din ya kwanza ni budha ya pili ni ukristo kwa uwingi na wachina kiujumla nyama ya nguruwe ndio namba moja kwao kila mtu amefuga hata kama hujaiona kwake but kijijini ana nguruwe hata mia kifupi hivyo
 
Sijamaliza kusoma yote Sasa wewe kama muislamu unafurahia uhuru wa kuabudu nchini china kwa nini hausikitiki uarabuni kulazimisha watu wote wawe waislamu, kwa nini uarabuni walazimishe imani wakati tunambiwa mungu atahukuumu waliokataa dini huku warabu wanawahukumu watu wakiwa hai muda mwingine mpaka kuua.
Nchi za kiislamu zinalazimisha sheria zifuatwe kwa nguvu.
Uarabuni wanaogopa competition ya kiimani toka dini zingine,kule uislamu unalindwa kwa bunduki na jambia.
Utake utakua Muislamu utaki utakua Muislamu.
 
Back
Top Bottom