Kutokana na hotuba ya leo, ni kukaza ICC intervention. Amedhamiria kuwasafisha watanganyika

This is my observation.
No more No Less
Ni kweli kabisa unaposema wapinzani wenyewe hawakutaka kushiriki Uchaguzi wakati Tundu yupo kwenye Kesi ya Mchongo , Chadema kama Chama nao wana Kesi ya Mchongo, Mpina Naye ana pingamizi la INEC na sio Mahakama, basi Kiongozi kama huyo anawalakini na Nia yake ya kuwa alipo sio nzuri kwa taifa
 
Yuko kwenye panic mode
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…