sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Nimetokea kuichukia / kuichoka kazi ninayofanya, mainly kwa sababu ya mipango yangu ya baadae pia mazingira na mfumo wa kazi, Kila nikipanga escape route inafeli hivyo nawajibika kuendelea coz siwezi nyanyua mguu mmoja kabla mwingine haujagusa chini. Hii imenifanya nifikirie maisha ya ndoa za bibi zetu.
Ameolewa akiwa hana shughuli nyingine zaidi ya za nyumbani, hana ndugu wala shost mjini kwenda kutafuta maisha, nyumbani kwa wazazi ameambiwa asirudi, anatakiwa avumilie maana ndoa ni uvumilivu. Hivyo hama mbadala zaidi ya kuvumilia.
Hawa wa sasa. Anakazi, anaelimu na pengine kipato akamzidi mume, anaweza kumudu mahitaji yake ya msingi na mtoto, sex anaweza kupata pale akihitaji.
Inapofikia wakati kazi ya mwanaume ni kuzalisha tu ambayo nayo sasa wanaenda pandikiza maabala, then ni ngumu mtu kuvumilia magumu, haiba na malezi yake ndo itaamua, ni ngumu kuvumilia magumu hali ya kua kuna mbadala.
Kifupi tu
"Mtu asie na mbadala ni mtumwa wa anachokitumikia" " a man with no option is a slave to a circumstance" Gonzalez lira ( CRP)
Escape plan yangu ikitiki nitawajuza