Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Nimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na visiwani.
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ikiwa kuna mauaji ya watu wamepoteza maisha zaidi ya watu 40 kutokana na vurugu za uchaguzi, ikiwa kuna kesi itafunguliwa itabidi uchunguzi ufanyike kwa Order ya mahakama ya ICC na waliohusika wote watawajibishwa. Ni kweli kama NCCR wana takwimu kamili tunaingia kwenye Msala huu wa kushtakiwa?