Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Huyu mtu atakubali kuitwa Mahakamani huyu? Sio itakua kama All Omar Bashir wa Sudan?Halafu viongozi wa dini wanakusanyika kumshukuru Mungu kwa kile wanachokiita uchaguzi kumalizika kwa amani,pumbav amani wakati watu wamekufa?shwain
Baada ya wajumbe viumbe wengine hatari kwa maisha ya binadamu ni waitwao viongozi wa dini.Halafu viongozi wa dini wanakusanyika kumshukuru Mungu kwa kile wanachokiita uchaguzi kumalizika kwa amani,pumbav amani wakati watu wamekufa?shwain
Hadi saivi kuna barua mbili za Act wazalendo na ya maria sarungi wakiiomba ICC iingilie kati na ushahidi wa kutoshaNimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na visiwani...
Halafu viongozi wa dini wanakusanyika kumshukuru Mungu kwa kile wanachokiita uchaguzi kumalizika kwa amani,pumbav amani wakati watu wamekufa?shwain
Uncle Bujibuji [emoji3][emoji3]Kayafa, Kama namuona vile na kakaptula kake ka suti ya orange
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji818][emoji106]Halafu viongozi wa dini wanakusanyika kumshukuru Mungu kwa kile wanachokiita uchaguzi kumalizika kwa amani,pumbav amani wakati watu wamekufa?shwain
Sidhani kama tunaweza kushtakiwa na hata tukishtakiwa madhara yatakuwa madogo sana.Nimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na visiwani.
Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ikiwa kuna mauaji ya watu wamepoteza maisha zaidi ya watu 40 kutokana na vurugu za uchaguzi, ikiwa kuna kesi itafunguliwa itabidi uchunguzi ufanyike kwa Order ya mahakama ya ICC na waliohusika wote watawajibishwa. Ni kweli kama NCCR wana takwimu kamili tunaingia kwenye Msala huu wa kushtakiwa?