Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Wewe ni mshamba sana. Umetoka kijiji gani nikuulize?Dah sasa ka waziri wa wizara ya nje kaharibu, Tanzania umaskini bado mkubwa then unaenda kutukana wahisani huku baadae unawalilia shida ka si kurogwa huko nini, tabia ya kujifanya maskini jeuri na kibri mwisho kuumiza nchi yako na Raia wako wanaoishi kwa shida
Nimetoka kijijini kwenuWewe ni mshamba sana. Umetoka kijiji gani nikuulize?
Hakuna "kudine" na mabeberu wanafiki this time. Ni mwendo wa kuwachachafya. Wakipoleka, diplomasia hapo itakaa sawasawa. Hata enzi hizo na hata sasa, kabla ya tawala kusaini peace accord, lazima wamechapana na kupimana ubavu, mwishowe wote wanasarenda pamoja. Si hata unakumbuka ilivyokuwa kwa Mr Kiduku & Mr FIRE & FURY???Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.
Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!!!
Na kwanini wasiitwe wahuni? Unasababu yeyote?Hawa watu wanaweza kutupeleka shimoni kwa matamshi yao ya kijinga kijinga unaitaje kamati ya mambo nje ya bunge la ulaya WATU WAHUNI WACHACHE.
Wanajua na aliyemteuaKama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.
Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.
Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.
Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.
Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.
Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.
Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.
Time will tell.
Mbona unajibu out if context inaonyesha una arrogance behavior, na hyo picha ya mzee wa watu inahusikaje sasa na huu Uzi, cdu si chama tu Cha ugermany Kama kilivo ccm, au Chauma so sioni jipya, kulinganisha na mada inayohusu EU hapaUmemwona huyo mbunge wa kutoka hicho chama cha CDU cha Ujerumani jinsi alivyo? Basi kama hujamwona angalia hii pic hapa utajua ni mtu wa aina gani.
Watu wenye mwonekano wa aina hii huko kwao Ujerumani wanaitwa Penner. Penner ni mtu ambaye anapenda dana kulala lala, ni mtu ambaye amesha give up maisha yake.
"unpleasant person or disgusting guy"
Ni mtu ambaye hataki kufanya kazi, mvivu, mlevi, anakula vyakula vya kutoka kwenye mapipa ya taka na analala popote pale. Hana makazi.
Kwako wewe mkamba usiye wajua wazungu unamwona mtu wa maana kwa sababu ya kukosa ufahamu. Unasikitisha. Unajifanya unajua kumbe huna lolote ni mbambaishaji tu. View attachment 1632016
Tuna ongozwa na vichaa safari hiiDah sasa ka waziri wa wizara ya nje kaharibu, Tanzania umaskini bado mkubwa then unaenda kutukana wahisani huku baadae unawalilia shida ka si kurogwa huko nini, tabia ya kujifanya maskini jeuri na kibri mwisho kuumiza nchi yako na Raia wako wanaoishi kwa shida
Zimbabwe waliwatukana wadau wa maendeleo hivi hivi.Guess what happened?Walipigika hadi kipindupindu kikaifanya Zimbabwe kuwa makao makuu yake!Nafikiri unakumbuka kipindi kile ambapo gunia moja la hela za Zimbabwe lilikuwa ni sawa na dola moja ya Marekani.Dah sasa ka waziri wa wizara ya nje kaharibu, Tanzania umaskini bado mkubwa then unaenda kutukana wahisani huku baadae unawalilia shida ka si kurogwa huko nini, tabia ya kujifanya maskini jeuri na kibri mwisho kuumiza nchi yako na Raia wako wanaoishi kwa shida
Na tuwemoHakuna "kudine" na mabeberu wanafiki this time. Ni mwendo wa kuwachachafya. Wakipoleka, diplomasia hapo itakaa sawasawa. Hata enzi hizo na hata sasa, kabla ya tawala kusaini peace accord, lazima wamechapana na kupimana ubavu, mwishowe wote wanasarenda pamoja. Si hata unakumbuka ilivyokuwa kwa Mr Kiduku & Mr FIRE & FURY???
Vitu vingine Hadi aibu hafu unakuta eti msomi wa level ya prof kazoea kumeza videsa Ila uzoefu wa diplomasia zero au kazi za management na hii tabia ya kuamini prof, au Dr ndio akili huku wamezoea tu kufundisha with zero experience kwenye kazi nyingine ndio matatizo hayoTuna ongozwa na vichaa safari hii
Ni wapuuzi watupuVitu vingine Hadi aibu hafu unakuta eti msomi wa level ya prof kazoea kumeza videsa Ila uzoefu wa diplomasia zero au kazi za management na hii tabia ya kuamini prof, au Dr ndio akili huku wamezoea tu kufundisha with zero experience kwenye kazi nyingine ndio matatizo hayo
Viongozi wako wamekuwa wakidai utawala wa sheria, walipaswa kuonesha mfano wa kutii sheria ya uchaguzi bila shurti na siyo kukusanyika Dsm kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo, wakitambua kufanya hivyo kungevuruga shughuli za kijamii, kisiasa na kiuchumi.Kwani safari hii tulikuwa na uchaguzi hadi udai walishindwa katika sanduku la kura.
Hadi aibu hafu Raisi anaamini kuwa na Dr na prof ndio kuwa na akili za utendaji kumbe wao ni kufundisha na utendaji wao wa kazi wanaweza shindwa hata na diploma mwenye uzoefu kwenye managementNi wapuuzi watupu
kama hao wazungu umawanyenyekea ni wewe na ukoo wenu tuHawa watu wanaweza kutupeleka shimoni kwa matamshi yao ya kijinga kijinga unaitaje kamati ya mambo nje ya bunge la ulaya WATU WAHUNI WACHACHE.
Hilo jambo zuri kama umeliona kwanini usilizungumzie wewe, au huko uvccm hamruhusiwi kuzungumzaHuna jambo jingine zuri la kuzungumzia zaidi ya kutafuta makosa ya viongozi ili usikie wakitumbuliwa? Huo mimi binafsi ninauita umasikini wa akili. Wewe ni kiumbe mfu na mzigo kwa Taifa letu. Ningekushauri jichimbie mwenyewe kaburu ujizike.
Lete Story nzuri kuhusu sayansi ya leo ili vijana wetu wasisimue ubongo wao badala ya kuspeculate mambo ya kike ambayo hayana tija. Kwani ulisikia Professor Kabudi ni robotor ambayo ikiwa programed inafanya kazi tu bila kukosea? Kama binadam kwanini asikosee? Kama kweli kuna kosa kwenye hotuba yake ya jana.
Mbali na hayo huyo mtumbuaji wako yeye ni mungu? Naye hafanyi makosa? Usipende ku m-demonize Rais wetu kana kwamba yeye hana soul.
Yale Maneno ya Kabudi ni ya JiweKama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.
Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.
Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.
Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.
Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.
Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.
Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.
Time will tell.
mbona hatukubaliani na ukweli tunakuwa km Trump?Kwani safari hii tulikuwa na uchaguzi hadi udai walishindwa katika sanduku la kura.
Huyu ndiye Wassira wa Ujerumani?Umemwona huyo mbunge wa kutoka hicho chama cha CDU cha Ujerumani jinsi alivyo? Basi kama hujamwona angalia hii pic hapa utajua ni mtu wa aina gani...