Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Dah sasa ka waziri wa wizara ya nje kaharibu, Tanzania umaskini bado mkubwa then unaenda kutukana wahisani huku baadae unawalilia shida ka si kurogwa huko nini, tabia ya kujifanya maskini jeuri na kibri mwisho kuumiza nchi yako na Raia wako wanaoishi kwa shida
Wewe ni mshamba sana. Umetoka kijiji gani nikuulize?
 
Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.
Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!!!
Hakuna "kudine" na mabeberu wanafiki this time. Ni mwendo wa kuwachachafya. Wakipoleka, diplomasia hapo itakaa sawasawa. Hata enzi hizo na hata sasa, kabla ya tawala kusaini peace accord, lazima wamechapana na kupimana ubavu, mwishowe wote wanasarenda pamoja. Si hata unakumbuka ilivyokuwa kwa Mr Kiduku & Mr FIRE & FURY???
 
Hawa watu wanaweza kutupeleka shimoni kwa matamshi yao ya kijinga kijinga unaitaje kamati ya mambo nje ya bunge la ulaya WATU WAHUNI WACHACHE.
Na kwanini wasiitwe wahuni? Unasababu yeyote?
 
Kama Mbowe hajafukuzwa pamoja na Chadema kufa kila kona sembuse Kabudi ?
 
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.

Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.

Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.

Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.

Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.

Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.

Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.

Time will tell.
Wanajua na aliyemteua
 
Umemwona huyo mbunge wa kutoka hicho chama cha CDU cha Ujerumani jinsi alivyo? Basi kama hujamwona angalia hii pic hapa utajua ni mtu wa aina gani.

Watu wenye mwonekano wa aina hii huko kwao Ujerumani wanaitwa Penner. Penner ni mtu ambaye anapenda dana kulala lala, ni mtu ambaye amesha give up maisha yake.
"unpleasant person or disgusting guy"
Ni mtu ambaye hataki kufanya kazi, mvivu, mlevi, anakula vyakula vya kutoka kwenye mapipa ya taka na analala popote pale. Hana makazi.

Kwako wewe mkamba usiye wajua wazungu unamwona mtu wa maana kwa sababu ya kukosa ufahamu. Unasikitisha. Unajifanya unajua kumbe huna lolote ni mbambaishaji tu. View attachment 1632016
Mbona unajibu out if context inaonyesha una arrogance behavior, na hyo picha ya mzee wa watu inahusikaje sasa na huu Uzi, cdu si chama tu Cha ugermany Kama kilivo ccm, au Chauma so sioni jipya, kulinganisha na mada inayohusu EU hapa
 
Dah sasa ka waziri wa wizara ya nje kaharibu, Tanzania umaskini bado mkubwa then unaenda kutukana wahisani huku baadae unawalilia shida ka si kurogwa huko nini, tabia ya kujifanya maskini jeuri na kibri mwisho kuumiza nchi yako na Raia wako wanaoishi kwa shida
Tuna ongozwa na vichaa safari hii
 
Zimbabwe waliwatukana wadau wa maendeleo hivi hivi.Guess what happened?Walipigika hadi kipindupindu kikaifanya Zimbabwe kuwa makao makuu yake!Nafikiri unakumbuka kipindi kile ambapo gunia moja la hela za Zimbabwe lilikuwa ni sawa na dola moja ya Marekani.
 
Inaeza kuwa ngumu kidogo kutumbuliwa labda atabadilishwa nafasi kile kitengo anatakiwa mtu makini na kichwani ngeli iwe imetimia
 
Hakuna "kudine" na mabeberu wanafiki this time. Ni mwendo wa kuwachachafya. Wakipoleka, diplomasia hapo itakaa sawasawa. Hata enzi hizo na hata sasa, kabla ya tawala kusaini peace accord, lazima wamechapana na kupimana ubavu, mwishowe wote wanasarenda pamoja. Si hata unakumbuka ilivyokuwa kwa Mr Kiduku & Mr FIRE & FURY???
Na tuwemo
 
Tuna ongozwa na vichaa safari hii
Vitu vingine Hadi aibu hafu unakuta eti msomi wa level ya prof kazoea kumeza videsa Ila uzoefu wa diplomasia zero au kazi za management na hii tabia ya kuamini prof, au Dr ndio akili huku wamezoea tu kufundisha with zero experience kwenye kazi nyingine ndio matatizo hayo
 
Ni wapuuzi watupu
 
Kwani safari hii tulikuwa na uchaguzi hadi udai walishindwa katika sanduku la kura.
Viongozi wako wamekuwa wakidai utawala wa sheria, walipaswa kuonesha mfano wa kutii sheria ya uchaguzi bila shurti na siyo kukusanyika Dsm kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo, wakitambua kufanya hivyo kungevuruga shughuli za kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Nikukumbushe tu kuwa, kwa miaka 5 iliyopita wananchi, wapiga kura wamesikia na kuona vitimbwi vya hao viongozi wako vya kupinga kila kitu wakati wao wakifaidi mishahara na marupurupu manono ya Ubunge na Udiwani!

Je, hilo kundi ndilo ulitegemea liaminike na wananchi kuwapa madaraka ya kuongoza nchi?

Siasa za majukwaani kutoa ahadi hewa zilifutwa 2015. Sasa hivi ni siasa za vitendo, bega kwa bega na wapiga kura kutatua kero zao za maendeleo. Inapofika wakati wa uchaguzi, mgombea atapimwa kwa kiasi alichokuwa akishiriki na si ahadi za "nitawafanyia hiki au kile".

Viongozi wa upinzani warudi mezani kujipanga upya, la sivyo kufikia Chaguzi zijazo watakuwa wamejifuta wenyewe.

Nanyi wafuasi na mashabiki wao, humu JF na mitandao mingine ya kijamii, badala ya kuendela kulaumu na kulalamika au kuomba dua Serikali ya CCM iharibikiwe, ni kupoteza muda. Mje na bandiko zenye kuhamasisha mtazamo mpya wa vyama vyenu vya upinzani, kwa Utikadi na Sera mbadala.
 
Ni wapuuzi watupu
Hadi aibu hafu Raisi anaamini kuwa na Dr na prof ndio kuwa na akili za utendaji kumbe wao ni kufundisha na utendaji wao wa kazi wanaweza shindwa hata na diploma mwenye uzoefu kwenye management
 
Hawa watu wanaweza kutupeleka shimoni kwa matamshi yao ya kijinga kijinga unaitaje kamati ya mambo nje ya bunge la ulaya WATU WAHUNI WACHACHE.
kama hao wazungu umawanyenyekea ni wewe na ukoo wenu tu
 
Huna jambo jingine zuri la kuzungumzia zaidi ya kutafuta makosa ya viongozi ili usikie wakitumbuliwa? Huo mimi binafsi ninauita umasikini wa akili. Wewe ni kiumbe mfu na mzigo kwa Taifa letu. Ningekushauri jichimbie mwenyewe kaburu ujizike.

Lete Story nzuri kuhusu sayansi ya leo ili vijana wetu wasisimue ubongo wao badala ya kuspeculate mambo ya kike ambayo hayana tija. Kwani ulisikia Professor Kabudi ni robotor ambayo ikiwa programed inafanya kazi tu bila kukosea? Kama binadam kwanini asikosee? Kama kweli kuna kosa kwenye hotuba yake ya jana.

Mbali na hayo huyo mtumbuaji wako yeye ni mungu? Naye hafanyi makosa? Usipende ku m-demonize Rais wetu kana kwamba yeye hana soul.
Hilo jambo zuri kama umeliona kwanini usilizungumzie wewe, au huko uvccm hamruhusiwi kuzungumza
 
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.

Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.

Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.

Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.

Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.

Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.

Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.

Time will tell.
Yale Maneno ya Kabudi ni ya Jiwe
Kabudi ni Speaker tu
 
Kwani safari hii tulikuwa na uchaguzi hadi udai walishindwa katika sanduku la kura.
mbona hatukubaliani na ukweli tunakuwa km Trump?

mgombea Urais kupitia upinzania akiwa kijijini kwake alikubali kabisa kuwa Uchagzi umeenda huru na haki na hata km hajakubali bado watu wameapishwa asubiri mmiaka 5 tena.

Kabudi ndiye Waziri wa Mambo ya Nje na aliapishwa mapema ili akabiliane na mambo hayo, na amepangua mengi tu, km Corona Balozi wa USA alitamka waTZ wanakufa na kuzikwa wengi, alipangua hoja ya mwandishi aliyepotea Gwanda, alipangua makenikia
sasa leo hawezi ondolewa kupitia mitandao, alichosema kapewa baraka na Boss wake.

sisi tungekubaliana ni miaka mitano mbele basi kuliko Mada za kuchokonoa JF tuaonekana vipi kila siku.
 
Back
Top Bottom