Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Hizo story nzuri za kisayansi andika wewe sasa, yeye kaleta uzi wake kuhusu hiyo kasoro ya huyo waziri, na wala hajakukaribisha kwenye uzi wake, ni kiherehere chako tuu umevaa dera na kuuvamia uzi wake huku ukijifanya mjuaji. Shusha uzi wako uweke mapambio kama yote badala ya kudandia nyuzi za watu.
 
Marekani na Tanzania ni tofauti kubwa Rais wa marekani hawezi kujenga Airport kijijini kwao kienyeji pasipo idhini ya bunge kama mtukufu aliyojenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, Marekani Rais hawezi kununua Ndege kwa cash kienyeji huku akila 10% kwa njia haramu kama Tanzania zipo tofauti nyingi mno, ndiyo maana Serikali iliyopo madarakani America haiwezi kufanya uchakachuaji wizi wa kura kwa kuwa vyombo vya Dola Polisi na vinginevyo vipo huru ni tofauti na Tanzania ambapo jwtzccm Polisiccm Uhamiajiccm magerezaccm NECCCM Tumeccm wakurugenziccm ni mali binafsi za CCM, acha kufananisha Marekani na Tanzania ambapo mtu mmoja mtukufu akiamua ubambikiwe kesi unabambikiwa kweli, Marekani hakuna kubambikiwa kesi uonevu unyanyasaji mateso kwa wapinzani uwanja wa siasa upo huru mno kuliko Tanzania kwa 100%
 
Nimeshangaa sana kwamba mnatambua Profesa Kabudi kama waziri wa serikali halali ya JPM! Lini mmebadilisha gia??? Halafu ropokeni tena kwamba uchaguzi haukuwa sijui nini!
Kichaa peke yake ndiye anaeweza kusema kuwa serekali ya JPM ni halali kama unavyodai hapo.Serekali iliyoingia madarakani kwa kulawiti uchaguzi unaweza kuiita vipi kuwa ni serekali halali?Unaelewa maana ya serekali halali?
 
Ufipa mumegeuka watabili wa hali ya hewa, sio?
Poa, Endeleeni kutabiri.
CCM mmegeuka kuwa waleta mvua za kichawi kwa kusaka sifa pasipo kutafakari kwanza kisa kulinda njaa na uteuzi
 
Chadema inapaswa ijitafakari upya na ikiwezekana mwenyekiti wa chama anapaswa ajiuzulu mara moja baada ya kushindwa vibaya!!
Mbowe chama kinakuifia mikononi!! achia nafasi wengine wasukume
 
Kabudi na Lukuvi wamezeeka. Kauli za wazee sio za kuzitilia maanani sana.

Ukizeeka akili inarudi utotoni.

Huyu Professa mzima alisema Magufuli kamuokota JALALANI wakati wote tunajua alikuwa mwalimu wa UDSM.

Huyu Professa mzima alinyweshwa mikojo ya Madagascar akiaminishwa ni dawa ya Corona...

Alipata ajali Morogoro baada ya kutoka akamshukuru Magufuli badala ya kumshukuru Mungu.

Jing.a sana hili lizee!
 
Hawa watu wanaweza kutupeleka shimoni kwa matamshi yao ya kijinga kijinga unaitaje kamati ya mambo nje ya bunge la ulaya WATU WAHUNI WACHACHE.
EU [emoji1099] wana delegation yao hapo Dar, for sure watakuwa wsmemsikia vizuri Kabudi na hiyo issue itawafikia wabunge husika waliotoa michango yao kwenye ile kamati, they won't be happy na kwa kweli waziri wa kujenga diplomasia ndiyo kwanza kaivuruga.... RIP Mahiga, tutakukumbuka sanaaaaa...
 
Unaelewa kuwa kwa nchi iliyostaarabika tuhuma peke yake huwa inamfanya mtu anajiuzulu nafasi aliyoshikilia,achilia mbali huwa wanapaswa kuachia nafasi hizo pengine ili kupisha uchunguzi ufanyike bila ya kikwazo?
Tayari madalali wa waganga wa kienyeji akina Le mutuz wapo wanajipanga kutafuna pesa za kabudi kwa kisingizio cha kulinda kibarua chake huku tayari wamekula pesa nyingi kwa wabunge wa CCM wakiwaahidi uwaziri na vyeo vinginevyo, huko CCM kuna vioja vingi mno kila mmoja hupiga kwenye fursa zake
 

kuna mganga mzuri kisarawe you know ila mzuri zaidi yupo zaire you know , am humbled you know!!
lemutuz mobimba nyeee-
 
Mahiga hata kabla kuzikwa akateuliwa mwingulu Nchemba sijui kulikuwa na haraka ipi? Utawala wa CCM unazo laana nyingi mojawapo ni kutojali mchango wa mahiga
 
Wewe ni pimbi kabisa, yaani hata ufanyeje ni ujinga kudhani tutakuona wa maana kuzungumzia negatively mzungu ambaye huko kwao ameaminika mpaka Akaingia bunge la EU, wakati wewe unasugua makalio hata utendaji wa Kijiji, let alone Ubunge wa hata East Africa ni ndoto. Wenye akili wote wamemsikia akihoji mambo ya msingi kwenye bunge lao kwa maslahi ya walipa kodi wao, wewe baki hapo hapo na akili zako za kushikiwa.
 
Chadema inapaswa ijitafakari upya na ikiwezekana mwenyekiti wa chama anapaswa ajiuzulu mara moja baada ya kushindwa vibaya!!
Mbowe chama kinakuifia mikononi!! achia nafasi wengine wasukume
Umeandika ugoro, na zaidi uko nje ya mada.
 
Ha ha ha Le mutuz akimjua atashinda huko saa 24 maana ni kazi yake aliyoichagua sasa

hahahaha[emoji1787] nimemiss sana vituko vya huyo mzee humu ametukimbia, nikiri ile ni tunu ya taifa hahaha
 
Kwa hiyo minyoo unakubaliana Kabudi anasimamishwa kazi kwa kuwaita Wabunge wa EU ni wahuni? km Mada inavyotaka.
Mimi nasisitiza Uchaguzi umeisha na tunaona Demokrasia Duniani haipo tena, hata Taifa la Russia, sembuse huko kwa Trump hatambui matokea licha ya kumuweka Jaji wake siku za mwishomwisho au kutaka kuishambulia Iran sasa hivi?
namaanisha tuache ndoto, mbabe kajenga uwanja wa ndege na wa mpira kwake turidhike tafuta mlo wako, huko Rwanda ameongeza miaka 7 na Uganda pia, nimemalizia msiiponze JF kwa kutokukubali matokeo, Mada ya Uchaguzi ilishafungwa tusubiri mingine mi5
Hao CCM waache watamalizana wao kwa wao wameanza na Mikopo ya magari bado watibuana wao km G55 ilivyokuwa
 
Umesema sahihi katika context ya historia ya ubabe duniani. Lakini kwa sasa strategy hiyo haina nafasi. Na hilo lilikuwa valid katika kipindi ambacho dunia ilikuwa ikitafuta mbabe. Ukiniambia kwenye battle hiyo Tanzania nayo imo, nahisi kama ni kujidanganya wenyewe. Dunia imefunguka sana wakati huu na neno "Diplomacy" limekuwa likijitwalia umaarufu siku hata siku. Tujisahihishe
 
hahahaha[emoji1787] nimemiss sana vituko vya huyo mzee humu ametukimbia, nikiri ile ni tunu ya taifa hahaha
Babu Le mutuz sasa lina miaka 60 lakini bado linashinda na vitoto vidogo na udalali wa waganga wa kienyeji , ukitaka kumuona sogea alipo kabudi lazima atakuwa kaanza kumnyemelea apige pesa zake kwa kisingizio cha kumuokoa dhidi ya utumbuaji toka kwa mtukufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…