Kwa hiyo
minyoo unakubaliana Kabudi anasimamishwa kazi kwa kuwaita Wabunge wa EU ni wahuni? km Mada inavyotaka.
Mimi nasisitiza Uchaguzi umeisha na tunaona Demokrasia Duniani haipo tena, hata Taifa la Russia, sembuse huko kwa Trump hatambui matokea licha ya kumuweka Jaji wake siku za mwishomwisho au kutaka kuishambulia Iran sasa hivi?
namaanisha tuache ndoto, mbabe kajenga uwanja wa ndege na wa mpira kwake turidhike tafuta mlo wako, huko Rwanda ameongeza miaka 7 na Uganda pia, nimemalizia msiiponze JF kwa kutokukubali matokeo, Mada ya Uchaguzi ilishafungwa tusubiri mingine mi5
Hao CCM waache watamalizana wao kwa wao wameanza na Mikopo ya magari bado watibuana wao km G55 ilivyokuwa