Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kwakuwa ruzuku ya CDM imepungua na inapunguza watu, itabidi hao watu wapate kazi huko CCM maana huko ruzuku imeongezeka.
 
Team kuwashwa washwa na mambo ya CHADEMA , hamchoki, mkilala CHADEMA hivi, mkiamka Mbowe vile.. ,
 
Wahini mkadai mbegu zenu ukipata ile meza na kabati ofisi ya mwenyekiti nitakulipa cash!
Kuna mtu aliandiika humu kuwa ofisi ya makao makuu imefungwa hakuna mtu pale muda sasa kuna mtu apite pale kesho atuthibitishie hilo? Yaweza kuwa wamefunga kinyemela kuogopa hilo au maandamano ya wafanyakazi wa CHADEMA tafadhali mlio jirani na makao makuu ya CHADEMA tuambieni ofisi ni kweli wameifunga muda haifanyi kazi?

Waandishi wa habari tusaidieni hili kuhakiki
 
Pamoja na matamanio yako na wenzio,huwa dua la kuku halimpati mwewe, kwa ni chama pendwa chenye mawazo mbadala, pamoja na hila zenu zote, bado kinaishi na kitaishi daima.
 
technically alishaliwa kichwa mapema sana siku hizi kaamua kuangalia namna nyingine ya kujipatia riziki nje ya siasa za SACCOS
 
Hivi tatizo nn si mmeshinda kihalali kwenye uchaguzi huru na haki
 
Hivi ruzuku zote walizokuwa wanapewa hawakuweka kitega uchumi? Wakikataa tumbo tu? Uwekezaji zero. Wenzao CCM japo walijitwalia asset zote ilipoanzishwa upinzani lakini wanawrkeza maeneo mbalimbali. Chadema imekuwa na wafadhili na ruzuku wanamalizia tumboni tu. Zero brains kabisa
Stupid kabisa.
 
Hongereni kwa kufanikiwa kuuwa upinzani TANZANIA.

Hongereni kwa kuwa ni nyie tu CCM ,tunaomba maendeleo huku nilipo hata syringe hakuna kwenye zahanati yetu
 
Hongereni kwa kufanikiwa kuuwa upinzani TANZANIA.

Hongereni kwa kuwa ni nyie tu CCM ,tunaomba maendeleo huku nilipo hata syringe hakuna kwenye zahanati yetu
Kufa kwa chadema hakumaanishi kufa kwa upinzani Tanzania. Tunavyo vyama vingi tu vya upinzani nchini kwetu na bila shaka kimoja wapo kitajitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani 2025 baada ya chadema kung'atuka.
 
Ipo kwenye website yao? Au wewe hizi taarifa umezitoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…