Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kwakuwa ruzuku ya CDM imepungua na inapunguza watu, itabidi hao watu wapate kazi huko CCM maana huko ruzuku imeongezeka.
 
Team kuwashwa washwa na mambo ya CHADEMA , hamchoki, mkilala CHADEMA hivi, mkiamka Mbowe vile.. ,
 
Wahini mkadai mbegu zenu ukipata ile meza na kabati ofisi ya mwenyekiti nitakulipa cash!
Kuna mtu aliandiika humu kuwa ofisi ya makao makuu imefungwa hakuna mtu pale muda sasa kuna mtu apite pale kesho atuthibitishie hilo? Yaweza kuwa wamefunga kinyemela kuogopa hilo au maandamano ya wafanyakazi wa CHADEMA tafadhali mlio jirani na makao makuu ya CHADEMA tuambieni ofisi ni kweli wameifunga muda haifanyi kazi?

Waandishi wa habari tusaidieni hili kuhakiki
 
Kuna mtu aliandiika humu kuwa ofisi ya makao makuu imefungwa hakuna mtu pale muda sasa kuna mtu apite pale kesho atuthibitishie hilo? Yaweza kuwa wamefunga kinyemela kuogopa hilo au maandamano ya wafanyakazi wa Chadema tafadhali mlio jirani na makao makuu ya Chadema tuambieni ofisi ni kweli wameifunga muda haifanyi kazi?

Waandishi wa habari tusaidieni hili kuhakiki
Pamoja na matamanio yako na wenzio,huwa dua la kuku halimpati mwewe, kwa ni chama pendwa chenye mawazo mbadala, pamoja na hila zenu zote, bado kinaishi na kitaishi daima.
 
technically alishaliwa kichwa mapema sana siku hizi kaamua kuangalia namna nyingine ya kujipatia riziki nje ya siasa za SACCOS
 
Hivi tatizo nn si mmeshinda kihalali kwenye uchaguzi huru na haki
 
Hivi ruzuku zote walizokuwa wanapewa hawakuweka kitega uchumi? Wakikataa tumbo tu? Uwekezaji zero. Wenzao CCM japo walijitwalia asset zote ilipoanzishwa upinzani lakini wanawrkeza maeneo mbalimbali. Chadema imekuwa na wafadhili na ruzuku wanamalizia tumboni tu. Zero brains kabisa
Stupid kabisa.
 
Ruzuku haijapungua bali haipo kabisa - yaani ni sufuri maana hata ile kidogo (sh 100 million kwa mwezi) wanayostahili kuipata wameisusa. Waliyokuwa wanawakata wabunge wao kila mwezi kwa mjibu wa katiba yao (viti maalum 1.5m kila mbunge kwa mwezi na 0.5m kutoka kwa kila mbunge wa jimbo kwa mwezi) haipo tena kwani wamewasusa wabunge wao. Waliyotegemea kutoka kwa marafiki zao wa nje ya nchi haipo (?kwa kisingizio cha corona) na serikali hairuhusu pesa hiyo kuingia nchini (kwa kisingizio cha money laundering). Waliyotegemea kuwa wanachangiwa kila siku na wanachama wao kupitia mitandao ya simu nayo haipo kwani wanachama wao wengi aidha wameshakihama chama au walishakata tamaa kutokana na kutokuwa wanapewa taarifa za makusanyo na matumizi ya fedha wanazochanga.

Hivyo si tu wafanyakazi wa chama hicho watapunguzwa bali wafanyakazi wote wa chama hicho hawatakuwa wanalipwa mishahara ye yote. Watafanya kazi hizo kwa kujitolea on part- time basis huku wakifanya kazi zao nyingine za kujipatia kipato. Sasa hivi wanachangishana pesa za kuweza kuitisha mkutano wa baraza kuu kujadili wabunge wao wa viti maalum. Ni shida juu ya shida. Hadi kufika 2025 uhai wa hiki chama unaweza ukatoweka unless ........ !?
Hongereni kwa kufanikiwa kuuwa upinzani TANZANIA.

Hongereni kwa kuwa ni nyie tu CCM ,tunaomba maendeleo huku nilipo hata syringe hakuna kwenye zahanati yetu
 
Hongereni kwa kufanikiwa kuuwa upinzani TANZANIA.

Hongereni kwa kuwa ni nyie tu CCM ,tunaomba maendeleo huku nilipo hata syringe hakuna kwenye zahanati yetu
Kufa kwa chadema hakumaanishi kufa kwa upinzani Tanzania. Tunavyo vyama vingi tu vya upinzani nchini kwetu na bila shaka kimoja wapo kitajitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani 2025 baada ya chadema kung'atuka.
 
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa Chadema watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo malalamiko yameanza tayari kuwa zoezi linaonekana kuwa na sura ya kikabila na kikanda kwenye kupunguzana

Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango
Ipo kwenye website yao? Au wewe hizi taarifa umezitoa wapi
 
Back
Top Bottom