Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kutokana na ruzuku kupungua CHADEMA kupunguza wafanyakazi. Wafanyakazi waja juu walia upendeleo

Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa Chadema watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo malalamiko yameanza tayari kuwa zoezi linaonekana kuwa na sura ya kikabila na kikanda kwenye kupunguzana

Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango
Ruzuku kupungua! Kwa hiyo wanavuta ruzuku kutoka kwa wale 19 wa viti maalum na yule mmoja wa Jimbo? Kama la, sasa hiyo ruzuki kidogo wanapateje?
 
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo malalamiko yameanza tayari kuwa zoezi linaonekana kuwa na sura ya kikabila na kikanda kwenye kupunguzana

Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango
Kama michango ya mifuko ya jamii kwa wafanyakazi wao hawaipeleki, tukiwapa nchi si ndo itakuwa balaa watakwiba sana hao majambazi waliojificha kwenye kichaka cha jina DEMOKRASIA NA MAENDELEO
 
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo malalamiko yameanza tayari kuwa zoezi linaonekana kuwa na sura ya kikabila na kikanda kwenye kupunguzana

Pili kuna malamiko ya mafao Watakayolipwa na pia baadhi yao baada ya kwenda kuangalia statement zao NSSF wengi wamekuta mwajiri CHADEMA alikuwa hapeleki michango
Kwani nyinyi mlishawalipa malimbikizo ya mishahara wafanyakazi wenu?

Hatapunguzwa mfanyakazi hata mmoja. Kwa taarifa yako huyo kakulisha matango pori.
Wengi wanaofanya kazi CHADEMA wanajitolea. Hao wa kwako waende Lumumba kuna ruzuku ya kutosha kuwapa ajira.
 
Mwenyekiti wenu anachagua mawaziri vichaa kisa msukuma mwenzake. Mambo ya kitaifa analeta usukuma
20210208_112555.jpg
 
Kufa kwa chadema hakumaanishi kufa kwa upinzani Tanzania. Tunavyo vyama vingi tu vya upinzani nchini kwetu na bila shaka kimoja wapo kitajitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani 2025 baada ya chadema kung'atuka.
Hongereni kwa Kazi nzuri!

Najua kila mwana -CCM sasa hivi ana maisha mazuri mno baada ya Kazi nzuri
 
Back
Top Bottom