Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za hivi vilabu viwli ili niweze kujifunza zaidi ata pale mambo yatakapo geuka kwa upande wa YANGA.
Kuna mambo yanavyoendeshwa katika vilabu vyetu kama vile havina wasomi kabisa wakati SImba na Yanga zina utajiri wa rasimali watu wa kada! yaani wachumi, wanasheria etc!
Nimejikuta nawaza kumbe haya mambo sio Serikalini tu kumbe ata huku kwingine danadana zipo pia!
Waungwana akikubwa naombeni nakala za Katiba za hivi vilabu viwili niweze kujifunza zaidi na kwa mapana yake.