Kutokana na support anayoipata, Andrew Chenge anaweza kuwa ni Spika ajae na hii itathibitisha CHADEMA walikuwa sahihi kumteua Lowassa kuwa mgombea wao

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtu leo hii ni shahidi.

Tungekuwa na Tume Huru, basi huenda Lowassa ndie angekuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015. Hivyo, kimsingi CHADEMA kama chama kinachota kushika dola, walikuwa sahihi kuwapa watanzania mgombea waliokuwa wanamtaka, ila kosa lao lilikuwa ni ku-ovelook ukweli kuwa hatuna Tume Huru na kumpokea Lowassa katika mazingira yale ilikuwa ni kufanya kosa la kiufundi.

Yote haya yanatokea kwasababu watanzania ni watu wa kupuuza mambo, wengi ni ma-ignorants, wafuata mkumbo, n.k na ndio maana licha ya CHADEMA kuhubiri kuhusu tuhuma za ufisadi wa Lowassa na viongozi wengine wa CCM, bado tu CCM ilikuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu.

Haya nayoyasema sasa yanadhihirisha au yanakwenda kujirudia kwa Andrew Chenge, mtu aliekuwa na tuhuma za ufisadi, tuhuma ambazo hazikuwa kuchunguzwa na mhusika kufikishwa mahakamani.Cha ajabu,leo hii ndio mtu anaepigiwa chapuo kuwa Spika na msishangae akachaguliwa kwa kura nyingi tu kama ilivyokuwa kwa Lowassa kupata kura nyingi kwenye uchaguzi wa Raisi mwaka 2015 kuliko mgombea yoyote wa upinzani nchi hii.

Hivyo, Chenge akishinda uspika,basi huo utakuwa ni ushahidi tosha kuwa CHADEMA kama chama kilichokuwa kibaraka kushika dola-, walikuwa sahihi kumteua Lowassa ila kosa lao kubwa lilikuwa ni kupuuza au kusahau ukweli kuwa Tume ya Uchaguzi hakuwa huru.

Kama walioko Bungeni watapuuza tuhuma hizi na kumchagua Chenge kwa kura nyingi, kwanini ushangae kwa watanzania wa kawaida kumshabikia Lowassa mwaka 2015?

Najiuliza kama wanasiasa wa nchi hii watakuwa tena na hofu ya kuwa na tuhuma za ufisadi kama ilivyokuwa kwa Andrew Chenge iwapo atashinda uspika.

Hii ndio Tanzania na watanzania!
 
Connection ya Lowassa na Chenge kwenye andiko lako bado sijaiona, kwamba kupendwa Lowassa na wengi kwenye uchaguzi mkuu 2015 ndio sababu ya kuonekana Chenge kupendwa na CCM wengi wakati huu?
 
Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtu leo hii ni shahidi.

Tungekuwa na Tume Huru, basi huenda Lowassa ndie angekuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015. Hivyo, kimsingi CHADEMA kama chama kinachota kushika dola, walikuwa sahihi kuwapa watanzania mgombea waliokuwa wanamtaka, ila kosa lao lilikuwa ni ku-ovelook ukweli kuwa hatuna Tume Huru na kumpokea Lowassa katika mazingira yale ilikuwa ni kufanya kosa la kiufundi.

Yote haya yanatokea kwasababu watanzania ni watu wa kupuuza mambo, wengi ni ma-ignorants, wafuata mkumbo, n.k na ndio maana licha ya CHADEMA kuhubiri kuhusu tuhuma za ufisadi wa Lowassa na viongozi wengine wa CCM, bado tu CCM ilikuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu.

Haya nayoyasema sasa yanadhihirisha au yanakwenda kujirudia kwa Andrew Chenge mtu aliekuwa na tuhuma za ufisadi, tuhuma ambazo hazikuwa kuchunguzwa na mhusika kufikishwa mahakamani lakini leo hii ndio mtu anaepigiwa chapuo kuwa Spika na msishangae akachaguliwa kwa kura nyingi tu kama ilivyokuwa kwa Lowassa kupata kura nyingi kwenye uchaguzi wa Raisi mwaka 2015 kuliko mgombea yoyote wa upinzani nchi hii.

Hivyo, Chenge akishinda uspika,basi huo utakuwa ni ushahidi tosha kuwa CHADEMA kama chama kilichokuwa kibaraka kushika dola-, walikuwa sahihi kumteua Lowassa ila kosa lao kubwa lilikuwa ni kupuuza au kusahau ukweli kuwa Tume ya Uchaguzi hakuwa huru.

Kama walioko Bungeni watapuuza tuhuma hizi na kumchagua Chenge kwa kura nyingi, kwanini ushangae kwa watanzania wa kawaida kumahabikia Lowassa mwaka 2015?

Hii ndio Tanzania na watanzania.
Spika itategemea bi Urojo anamtaka nani, wabunge wa CCM hawana uhuru wa kwenda kinyume na bi Mipasho.
Patatengwa percent kadhaa za kuzuga ili ionekane kana kwamba mchakato hauwi controlled kutokea Magogoni lakini ukweli unajulikana na mengine yote ni maigizo tu.
 
Patatengwa percent kadhaa za kuzuga ili ionekane kana kwamba mchakato hauwi controlled kutokea Magogoni lakini ukweli unajulikana mengine yote ni maigizo tu.
Hilo usemalo ni kweli kabisa ila Mama akiona wote wanamfaa na akaacha wachuane, nakwambia Chenge ndio atakuwa Spika wa kumrithi Ndugai.
 
Yote haya yanatokea kwasababu watanzania ni watu wa kupuuza mambo, wengi ni ma-ignorants, wafuata mkumbo, n.k
Nakubaliana na wewe, nami niliwahi kuuliza humu

Haya nayoyasema sasa yanadhihirisha au yanakwenda kujirudia kwa Andrew Chenge, mtu aliekuwa na tuhuma za ufisadi, tuhuma ambazo hazikuwa kuchunguzwa na mhusika kufikishwa mahakamani.Cha ajabu,leo hii ndio mtu anaepigiwa chapuo kuwa Spika na msishangae akachaguliwa kwa kura nyingi tu
Chenge sio anapigiwa, chapuo, bali kati ya tulio nao, Mtemi Chenge ndio the one and only who can make the best speaker Tanzania had ever had baada ya SS!.

Hivyo, Chenge akishinda uspika,basi huo utakuwa ni ushahidi tosha kuwa tuhuma hizi na kumchagua Chenge kwa kura nyingi, kwanini ushangae kwa watanzania wa kawaida kumahabikia

Hii ndio Tanzania na watanzania.
Yes it is...https://www.jamiiforums.com/threads/pamoja-na-ufisadi-wake-wote-chenge-is-one-of-best-brains-kwenye-bunge-full-of-ignorants.766342/
P
 
ndio maana CHADEMA walizishangilia sana zile picha CCTV Bungeni za Chenge akimwaga upupu usiku wa manane
Kwa Chenge wamenoa hata hivyo Vikao vya mwanzo kabisa vya Chama havitampitisha, ni kwenda kuiharibia CCM huko mbele, ni Kiongozi anayeamini katika mfumo dume
 
Japo mini sio kiongozi ndani ya CHADEMA zaidi tu ya kuwa mshabiki wa hiki chama, ninaamini mwaka 2015 CHADEMA walimptisha Lowassa kuwa mgombea wao baada ya kusoma mood ya watanzania na kuwapa kile wanachokitaka. Ninahakika walikuwa sahihi katika maamuzi yao kwani kilichotokea katika kampeni na kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kila mtu leo hii ni shahidi.

Tungekuwa na Tume Huru, basi huenda Lowassa ndie angekuwa Raisi wa nchi hii mwaka 2015. Hivyo, kimsingi CHADEMA kama chama kinachota kushika dola, walikuwa sahihi kuwapa watanzania mgombea waliokuwa wanamtaka, ila kosa lao lilikuwa ni ku-ovelook ukweli kuwa hatuna Tume Huru na kumpokea Lowassa katika mazingira yale ilikuwa ni kufanya kosa la kiufundi.

Yote haya yanatokea kwasababu watanzania ni watu wa kupuuza mambo, wengi ni ma-ignorants, wafuata mkumbo, n.k na ndio maana licha ya CHADEMA kuhubiri kuhusu tuhuma za ufisadi wa Lowassa na viongozi wengine wa CCM, bado tu CCM ilikuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu.

Haya nayoyasema sasa yanadhihirisha au yanakwenda kujirudia kwa Andrew Chenge, mtu aliekuwa na tuhuma za ufisadi, tuhuma ambazo hazikuwa kuchunguzwa na mhusika kufikishwa mahakamani.Cha ajabu,leo hii ndio mtu anaepigiwa chapuo kuwa Spika na msishangae akachaguliwa kwa kura nyingi tu kama ilivyokuwa kwa Lowassa kupata kura nyingi kwenye uchaguzi wa Raisi mwaka 2015 kuliko mgombea yoyote wa upinzani nchi hii.

Hivyo, Chenge akishinda uspika,basi huo utakuwa ni ushahidi tosha kuwa CHADEMA kama chama kilichokuwa kibaraka kushika dola-, walikuwa sahihi kumteua Lowassa ila kosa lao kubwa lilikuwa ni kupuuza au kusahau ukweli kuwa Tume ya Uchaguzi hakuwa huru.

Kama walioko Bungeni watapuuza tuhuma hizi na kumchagua Chenge kwa kura nyingi, kwanini ushangae kwa watanzania wa kawaida kumshabikia Lowassa mwaka 2015?

Najiuliza kama wanasiasa wa nchi hii watakuwa tena na hofu ya kuwa na tuhuma za ufisadi kama ilivyokuwa kwa Andrew Chenge iwapo atashinda uspika.

Hii ndio Tanzania na watanzania!
Acha kutukana watanzania wewe. Yaani kubariki ufisadi kipuuzi ndio justification kuwa Chadema walikuwa sahihi kumpitisha Lowassa? Acha zako.
 
Spika itategemea bi Urojo anamtaka nani, wabunge wa CCM hawana uhuru wa kwenda kinyume na bi Mipasho.
Patatengwa percent kadhaa za kuzuga ili ionekane kana kwamba mchakato hauwi controlled kutokea Magogoni lakini ukweli unajulikana na mengine yote ni maigizo tu.
Japo Chenge ana tuhuma za kutupwa za ufisadi ambazo hazijathibitishwa na mahakama yoyote, ndiye mgombea peke wa uspika ambaye ni smart, yupo fair na hana "UCCM" wa kupindukia.
Kubwa kuliko yote,ndiye pekee ambaye anayeweza "kumdindia" mpangaji wa magogoni bila ya kusita.
 
Back
Top Bottom