Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sativa alieleza kua alipotekwa kwa mara ya kwanza alipelekwa kituo cha polisi Oysterbay. Unadhani Chadema wamekua wakubwa mpaka kutumia miundombinu ya serikali kufanyia shughuli zao?
 
Unaweza ukabeba smg au Ak 47 asubuhi tegeta kama wewe ni raia wa kawaida bila wenye mamlaka kukutuma.
 
Usituhamishe ndg yetu. Tuache kwanza. Usitake tuamini ambayo hatutaki kuamini. Mwenyekiti wa vijana Bukoba alisema, tulisikia. Mkuu wa wilaya fulani alisema tulimsikia. Bado tunatafakari yanayokea ya wale na wale na yule. Mpaka leo mtoto aliyechoma picha aliyochora hatuna majibu karudi kwao au la. Kwa nn utuhamishe tuamini hivyo?. Subiri kwanza muda haujafika.
 
Amini Mungu pekee gentleman, acha ushirikina tafadhali...

mamia ya wamasai kutoka hifadhi ya taifa ya Ngorongoro kwa uzalendo wao kwa taifa lao ndio wanahama sio kuhamishwa, wanahamia Msomera mkoani Tanga kwa hiyari yao..

mimi sihusiki na uhamisho wa mtu yeyote au kitu chochote popote....

Nasisitiza Zaidi Imani yako iwe kwa Mungu muumba wako pekee, binafsi sihubiri imani hovyo hovyo tu, bali kwa utaratibu na sifanyi hiyo kazi ya kuaminisha wengine chochote, hapana...

sawa gentleman 🐒
 
Dogo uko tayari tulete Scotland yard waje kuchungiza,
Atakaye Pinga na kataa hii miamba ya uchunguzi isije ndo muhusika

Nimewasikia cdm Leo wanasema wako tayari uchunguzi huru wa kimataifa

Vivi mabwana zako ccm waanafiki ujio wa wachunguzi Toka nje?
 
tatizo kubwa ni mtoa wito ana rekodi za uhalifu hatari zaid duniani, ugaidi 🐒
 
Scotland yard ya nini kwasasa wawaachiie wanaTanga wamalize kitendawili kilichopo,huko ni kutaka kupotosha umma,wanwaache wananchi wamlilie Mungu wao kwa njia zao
 
Ulivyowasilisha ni kama vile uchunguzi ulitakiwa kufanyika kisha ukasitishwa. Sasa kwa vile umeiweka hivyo, nimeijiwa na swali: je, kwa kumbukumbu zako, nani aliyekataza wasichunguzwe na ilikuwa mwaka gani?
kua mustahimilivu na mwenye subra uchunguzi unaendelea🐒
 
The headline is a blatant fallacy, so what you claim is equally fatally flawed.
 
Now you are talking
 
calm down and relax gentleman detective apparatus are at work 🐒
I just questioned your way of reasoning, I'm not at all worried because I don't belong to any political party although I espouse anything positive in any political party.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…