Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe sasa nakuchukulia kivingine kabisa kuliko nilivyo kuchukulia hadi hapa tulipo fikia.
 
Uchaguzi wa Mwenyekiti taifa ni lini umalizike haraka

Sumaye uchaguzi wa Mwenyekiti taifa ulipokaribia alitaka kuchukua form kugombea Mbowe akasema sumu haionjwi kumtishia Sumaye
CHADEMA malizeni chaguzi zenu za ndani haraka nchi ipumue na hayo mambo yenu
 
Kuna watu wana uwezo mdogo wa kufikiri utadhani IQ yao na kuku zinalingana, mtu mzima na akili timamu unaweza kuandika kitu kama hiki?
NDIO UNAWEZA KUANDIKA. KWANI KAMA AKILI ZAKO ZIKIWA UNATEGEMEA UTAANDIKA KITU GANI CHA MAANA. MTU ANAYEANDIKA KITU KAMA HIKI AKILI ZIPO ZIPO WAPI HIVI?
 
Naunga mkono hoja vyama vya siasa vijichunguze adui yupo ndani yao
 
Ni kweli kabisa.Chadema na Landcruiser mbili,bunduki na pingu saa kumi na mbili jioni.Kweli Chadema walichobakisha ni kuteka Ikulu
elezea vizuri kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau πŸ’
 
Wewe nimemalizana nawe; sina tena cha kukueleza zaidi ya niliyo kwisha kueleza toka uingie humu.
Tusubiri tu huyo "Mungu" wako akupe rehema.
Sitahangaika tena na wewe.
 
Comments reserved
 
Wewe sasa nakuchukulia kivingine kabisa kuliko nilivyo kuchukulia hadi hapa tulipo fikia.
infact,
mimi sijifichi hata ukiomba appointment tuonane macho kwa macho, but next year coz schedule yangu for this year is full..

actually,
sitaki mtu yeyote anichukulie kwamba I'm so special than special itself, No mimi si wa hivyo,

Yes,
ni mwanadiplomasia mwandamizi wa kisiasa but pia ni mtu wa kawaida tu we can share ideas and a cup of coffee na maisha ikasonga,

ama ulitaka kusema nini gentleman?πŸ’
 
Nishakutambua siku nyingi.
Tuachane hapa hapa.
 
Mkuu kuna viumbe hawana chamber utu na huruma kabisa. Wana mawazo ya kijinga kupindukia
mnapeana moyo dhidi ya mapendekezo ya kiuchunguzi ndani ya chadema ndrugu zango?

kwamba hayafai?🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…