Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini!
Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna upendo kumbe ni kuviziana na kumtanguliza RIP abaki na mali au akufanye zezeta ale bata mali ulizoangaikia! AKILI KICHWANI MWANAWANI!