Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Baada ya kumuumba adamu na kuonekana yuko mpweke; ndipo akaumbiwa msaidiziMkuu wanawake watakuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kumuumba adamu na kuonekana yuko mpweke; ndipo akaumbiwa msaidiziMkuu wanawake watakuua
Pilau ni pilau tu, sahani ya udongo ni mbwembweNi sawa na mwingine alie pilau kwenye sahani ya plastiki na mwingine sahani ya udongo
Najaribu kufikiria, hitler aliweza kweli kukikwepa hichi kikombe?Pale kichwa Cha chini kinavyoendeshaa kichwa Cha juuu.
Na vile kichwa Cha juuu akijui kukataa mbona utaendaa mkuu..
Acha ubahili, kula vyomboPilau ni pilau tu, sahani ya udongo ni mbwembwe
Hivyo hivyo
Bao ni bao tu, k ni mbwembwe 🤣🤣🤣
C Hitler tu mkuu hata YESU hakukikwepaa hcho kikombee semaa tu tumefichwa fichwaa ,ila kikombee hakikwepekii mkuuNajaribu kufikiria, hitler aliweza kweli kukikwepa hichi kikombe?
Acha niwe bahili. Kiufupi nilichelewa mno kujua hilo jambo, imenikosti sana.Acha ubahili, kula vyombo
Ukisikia tandam , ndio hawaNa maji yalivyo ya mgao huyo ataoga dumu ngapi za liter 20??Maana shower simtank la lita 500 Halimtoshi,mpeleke car wash
Kweli inayumbisha sana uchumi; lakini suluhisho ni kupambana na umasikini ili kupata huduma muhimu; tunaishi mara moja.Acha niwe bahili. Kiufupi nilichelewa mno kujua hilo jambo, imenikosti sana.
Wacha niwe bahili tu.
Demu lako bhana linapost mapicha yake ya Uchi twitter, Huna hio habari??Mapicha ata yakuchora yapo
Wewe sema imepelea kiasi gani 😃Hapo umeongea la maana, unataka unipe ngapi?
Bado kuthibitishaDemu lako bhana linapost mapicha yake ya Uchi twitter, Huna hio habari??
Kama hela ya sukari hivi 😀Wewe sema imepelea kiasi gani 😃
We bhana kubali tuu hio ni chai.Bado kuthibitisha
Basi sawa...Namba yako si ileile au umebadili 🤔Kama hela ya sukari hivi 😀
Kuleni mema ya duniaWe bhana kubali tuu hio ni chai.
Usione aibu no jambo la kawaida watu wengi wanaanzisha thread za uongo humu ndani.
Come clean broo
Auoni konde anavyosumbuliwa na mwenzake? haya mambo hayana uzoefuUnahakika ushawahi mgonga huyo mrembo? Maana ni nadra sana mwanaume kuendesha na mwanamke ambaye ashamgonga acha kumtia mimba
Konde gani?Auoni konde anavyosumbuliwa na mwenzake? haya mambo hayana uzoefu
Utakuwa umefanya lamaana sana, ubarikiwe na kesho uokote kikapu cha helaBasi sawa...Namba yako si ileile au umebadili 🤔