Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Nkondo 2

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
181
Reaction score
144
Ndugu wana jukwaa, kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu kuwa uwezekano wa kupatikana kwa mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi ya 17 toka mwanamke anapokuwa ameingia hedhi.

Je kuna uwezekano wowote wa mimba kupatikana nje ya utaratibu huo? nauliza hivyo maana imetokea leo mchumba wangu amebainika ana mimba na nilisex nae siku ya saba toka aingie hedhi mwezi ulopita(alikuwa akitumia dawa zinaitwa clomitab) na baada ya siku hiyo alisafiri hatukuonana tena hadi hivi leo vipimo vmebainisha hivyo.

Nimepata utata mkubwa naomba wenye uelewa au uzoefu kuhusu hili jambo kama linawezekana kunielewesha.
 
Inawezekana sana maana mbegu za kiume zinaweza kuwa hai kwa muda wa masaa 72 sawa na aiku tatu hvyo basi tunasahuri 11-3=8. Manake ni kwamba ukisex naye siku ya nane toka ameanza hedhi mimba inaweza tokea lakini kwa siku ya saba duh utata labda nambie kitu kimoja alianza hedhi saa ngapi na ulisex naye saa ngapi.

Au nichek 0620436634
 
Kama ana mzunguko wa siku 28 na kupanda juu, hiyo mimba sio yako hakuna mimba inayojitunga siku ya 7, 8, 9, 10 hata hiyo ya 11 sio rahisi.

Mimi nimeshalala na wanawake wenye mzungo wa siku 28 na nmesex nao kwa siku ya 11 na mimba hawakunasa.

Nilianza kusoma haya mambo ya mzunguko baada ya kutoa mimba 2, mpaka sasa sidanganyiki na hizi calendar.
 
Hata siku ya 8 mimi nakukatalia mkuu, hizi kalenda nimeshazitumia saana mkuu. Kuanzia siku ya 12 usijaribu kabisa kumwaga ndani. Hata siku ya 11 inategemea na spermz za mwanaume.
 
Dah aya mambo yanachanganya sn asee
 
Kwa ushauri huu huu nilipata mimba siku ya tisa ya mzunguko...
Kasome statistic za wanawake wanaofanikiwa kupitia kalenda via wanaofeli...
Hata ukitumia apps zinakuonesha kabisa kuna uwezekano wa kupata mimba kuanzia siku ya 11 mpaka 14>>>
 
Kwa ushauri huu huu nilipata mimba siku ya tisa ya mzunguko...
Kasome statistic za wanawake wanaofanikiwa kupitia kalenda via wanaofeli...
Hata ukitumia apps zinakuonesha kabisa kuna uwezekano wa kupata mimba kuanzia siku ya 11 mpaka 14>>>
Una mzunguko wa siku ngapi?
 
Sperm za mwanaume zina uwezo wa kukataa kwenye mwil wa mwanamke for 3days minimum and 7days maximum .kwa hyo umefanya mpenz na mpenz ndan ya utaratib wa uwezekano wa kupata mimba na co nje ya utaratib kama jins ulivyoeleza.
Mbona mm nimelala nae siku ya NNE alafu ka conceive
 
Kwa ushauri huu huu nilipata mimba siku ya tisa ya mzunguko...
Kasome statistic za wanawake wanaofanikiwa kupitia kalenda via wanaofeli...
Hata ukitumia apps zinakuonesha kabisa kuna uwezekano wa kupata mimba kuanzia siku ya 11 mpaka 14>>>
Vipi shemej yetu alikuelewa?
 
Ukishafanya ngono bila kinga kuwa tayari kwa matokeo kama hayo. Uwezekano wa kushika mimba upo sana tu wala usimhisi vibaya!

Kama unampenda na mna malengo naye hebu fanyeni harakati za kupunguza gharama za kuhudumia nyumba mbili, kwa maana, kuishi pamoja (kihalali).

Kama la..mjuze mapema akaitoe kama akipenda msiongeze watoto ambao hawakutarajiwa. Mwishowe unamkana mtoto anakuwa na a lot of psychological problems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…