Ndugu wana jukwaa, kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu kuwa uwezekano wa kupatikana kwa mimba ni kuanzia siku ya 11 hadi ya 17 toka mwanamke anapokuwa ameingia hedhi.
Je kuna uwezekano wowote wa mimba kupatikana nje ya utaratibu huo? nauliza hivyo maana imetokea leo mchumba wangu amebainika ana mimba na nilisex nae siku ya saba toka aingie hedhi mwezi ulopita(alikuwa akitumia dawa zinaitwa clomitab) na baada ya siku hiyo alisafiri hatukuonana tena hadi hivi leo vipimo vmebainisha hivyo.
Nimepata utata mkubwa naomba wenye uelewa au uzoefu kuhusu hili jambo kama linawezekana kunielewesha.