Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Kuna mwanamke kapata ujauzito siku ya saba hivi inawezekana hii

Inawezekana kabisa. Kuelewa ni kwamba tunadhani kila mwanamke ni text book scenario - day 14 unaovulate. Ovulation hata kwa mwanamke huyo mmoja mwezi mmoja hadi mwingine inaweza kubadilika. Kinachobaki sawa mwezi hadi mwezi ni baada ya ovulation hizo siku hadi next period. Wataalam wanaita Luteal Phase.
 
Issue muhimu hamna aliyetaja na muhusika kazungumzia - '...alikuwa anatumia clomitab'. Hii ni jamii ya dawa inayoitwa clomid na its a fertility medication to make someone ovulate (au used pale cause of infertility is unknown). Inawezekana hii dawa ilipelekea ovulation kufanyika mapema...wakati mwingine inapelekea hata mayai mawili kupevuka. Hakikisha hauna twins mweshimiwa....
Asante sn kwa majibu mazur... Nmejiulza muda mrefu kwann wadau hawaiongelei hyo dawa!!
 
Back
Top Bottom