Theodora
JF-Expert Member
- Dec 20, 2009
- 802
- 571
Kuna mwanamke kapata ujauzito siku ya saba hivi inawezekana hii
Inawezekana kabisa. Kuelewa ni kwamba tunadhani kila mwanamke ni text book scenario - day 14 unaovulate. Ovulation hata kwa mwanamke huyo mmoja mwezi mmoja hadi mwingine inaweza kubadilika. Kinachobaki sawa mwezi hadi mwezi ni baada ya ovulation hizo siku hadi next period. Wataalam wanaita Luteal Phase.