Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Mkuu mentor upo??
 
Usisepe Mkuu mwanao huyoo. Hongera baba kijacho kwa kazi nzuri sasa anza kutafuta majina na mwenzio ya kike na ya kiume.
Na akaandae vitenge 10 na khanga 10, madela 5, chupi nyingi, pampers za mzazi 20, za mtoto, beseni, nguo za mtoto, baby show 3[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Umempa mimba mwanafunz nn mbona unaogopa sana
 
Jamni hii njia ya calendar watu wengi bado hamuifahamu vizuri ntaiandikia thread yake.. lakini kama mkeo ana mzunguko mfupi( siku 28) bac inamaana AVERAGE PEAK OVULATION MARA NYINGI HUWA SIKU YA 14.. PEAK ovulation ni siku ile yai linapokua kwenye mirija ya uzazi kwa ajili ya kuwa fertilized. Na lina exist within 12-24 hours kabla halijadissolve. Nikisema average ina maana it can change to day 12- 14 kutokana na sababu nyingi ikiwemo hormones, mazingira n.k.. pia ikumbukwe sperms zinaweza kukaa max 5 days and rarey to 7 days and min ni 3 days. Kwaiyo ndo maana unaweza ukafanya siku ya 8 na ukapata mtoto kama kawaida. Na kama yai likipevuka mapema sana hata siku ya 12 anaweza kushika mimba siku ya 7 mkifanya baada ya kuona siku zake. SO ITS POSSIBLE THOUGH ITS CONTRADICTING KAMA SIO MUAMINIFU ALIKOKWENDA UKO SAFARINI.
Nina mengi mno ya kuandika lakni nimejaribu kukujibu kwa kifupi..
 
Alinielewa kwa sababu lilikuwa hitaji lake kuu
Japo mie nilikua najibana bana miaka isogee tule raha kwanza
Plus mtoto katoka kafanana kila kitu isipokua jinsia tu
Huyo jamaa mario nin??
 
Calendar sio za kuamini sana.
Mimi nilisex siku ya 10 since Mp na sikukuta a tena na mume wangu coz alisafiri for two month.now nalea mimba
 
Au nguvu za kiume ni tatizo
 
mkuu mimba kutungwa kuwanzi tarehe 11 hadi 17 ia wezekana ila nje ya kumi na 17 ni uongo maana yai la manzi lina kufa ndani ya masaa 36 tu so umiza kichwa uli sex nae mda gani na wakati gani
 
Shukran sn mkuu kwa maelezo mazur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…