kareem kim
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 459
- 697
Mkuu mentor upo??Ukishafanya ngono bila kinga kuwa tayari kwa matokeo kama hayo. Uwezekano wa kushika mimba upo sana tu wala usimhisi vibaya!
Kama unampenda na mna malengo naye hebu fanyeni harakati za kupunguza gharama za kuhudumia nyumba mbili, kwa maana, kuishi pamoja (kihalali).
Kama la..mjuze mapema akaitoe kama akipenda msiongeze watoto ambao hawakutarajiwa. Mwishowe unamkana mtoto anakuwa na a lot of psychological problems.