Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Kuna mwanamke kapata ujauzito siku ya saba hivi inawezekana hii

Inawezekana kabisa. Kuelewa ni kwamba tunadhani kila mwanamke ni text book scenario - day 14 unaovulate. Ovulation hata kwa mwanamke huyo mmoja mwezi mmoja hadi mwingine inaweza kubadilika. Kinachobaki sawa mwezi hadi mwezi ni baada ya ovulation hizo siku hadi next period. Wataalam wanaita Luteal Phase.
 
Asante sn kwa majibu mazur... Nmejiulza muda mrefu kwann wadau hawaiongelei hyo dawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…