Kutokomezwa kwa corona virus itategemeana sana na ukomavu wa viongozi wetu

Kwani hawajatangaza kuchukua hatua ZOZOTE?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
jiwe kaingia mitini kazi imeshamshinda, hili janga limekuwa kipimo tosha kudhihirisha kwamba viatu alivyo vaa havimtoshi
 
Dawa ya virusi ni Nini?
Dawa ya virusi ni ngumu kwa kuwa virusi huishi ndani ya seli ya MTU au kiumbe kilicho ambukizwa hao virusi. Hivyo unapotaka kuangamiza virusi unajikuta unaangamiza seli.
 
Kwani hawajatangaza kuchukua hatua ZOZOTE?

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Wametangaza katika hali isiyo thabiti. Ni kama tahadhari ya kawaida ya hiari badala ya kutangaza kama tahadhari ya dharura ambayo itakuwa enforced kwa kutumia taasisi za serikali.
 
Ipigwe lockdown ya jumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu ambaye kupata nauli ni shida, ataiweza barakoa? Bashite kazi yake ni kuropoka bila kufikiri.
 
Mtu ambaye kupata nauli ni shida, ataiweza barakoa? Bashite kazi yake ni kuropoka bila kufikiri.
Wangesema wasio na uwezo wa kununua wapate kutoka kwa mwenyekiti wao wa mtaalamu. Wenyeviti wote wa mitaa si walipita bila kupingwa, hivyo wote ni CCM.
 
Siku ikitimba chato utasikia yupo karagwe
jiwe kaingia mitini kazi imeshamshinda, hili janga limekuwa kipimo tosha kudhihirisha kwamba viatu alivyo vaa havimtoshi

In God we Trust
 
Usipobadilika utakufa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasahivi viongozi wa dini watafunga nyumba za ibada ila amini nakwambia ni maagizo kutoka juu
 
Kuna nchi fulani ya Afrika Mashariki Rais wake kawa fala ghafla!
 
Well said na kwamba hizi zinatakiwa medical statements na sio mpayukaji tu hivi. Anajua athari za kuvaa hicho kidubwana kutwa nzima? Anajua kinatakiwa kuvaliwa kwa masaa mangapi?? Anajua ni zipi ni recommended na zipi sio??
 
bhana kiukweli serikali Bado haipo serious kufanya maamuzi magumu this is a dangerous communicable disease.,..hii nawa mikonoi na kuvaa barakoa Bado wa Tz haitotusaidia nabado kunamzaa sasa serikali ilibidi ichukue maamuzi magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe uliyeona SI U TUAMBIE WAMEFANYA NINI?
Na nchi zipi hizo?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Si wamuige ata museveni babu yupo serious Sana dawa ya hii kitu ni kukaa tu nyumbani barakoa sijui nawa mikono tutaisha tu wa bongo ni wapuuza wa mambo, huku mtaani Bado watu hawapo serious sasa serikali ndio ilitakiwa kufanya maamuzi serious na yalazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…