MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
Kama sio mwaminifu huwezi kuaminika
Habari yoooote hio yanini Mkuu???
Kuvaa kwako CONDOM tu
Hio ni ishara tosha ya kutokuaminiana[emoji3]
Njoo kwangu
Acha porojo, kama Ulizoea kupokea simu ya mrembo hata kabla haijaita wakati unatupia ndowano sasa leo iweje uache kuipokea simu yake!?
Ulijenga mnara mzuri kwa njia ya mawasiliano imara ila sasa , unajitoa ufahamu kwa kumpotezea huyo binti.
Kumbuka, ukijenga mnara,, usiivunje ngazi ya kupandia juu.
Nampenda na staki kumpoteza ila kero zimezidi sana hata ukiwa kazini ukishindwa kupokea simu ni shida tupu anakuwazia mengine kabsa ambayo hata huyafikirii.
umetafuta tu kisababu cha kumuacha
kweli nimeamini ukipenda sana utaitwa msumbufu
bas usha mchokaNdo hivyo kabsa
Kaa naye mweleze Kwa upole na mwambie majukumu yako kazini.
Pia, nawe usiwe kiazi ukiwa na muda Mtafute, mtumie ujumbe hata mfupi ili ajue upo naye japo umebanwa na kazi.
bas usha mchoka
huyo halaf unataka hapa eti tukwambie mwache hahaha
na hatukwambiii
tumekugunduaaaHahahahaha [emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
Tunachat sana ila akipiga usipopokea tu anajua niko na mchepuko
Hahahahaha..eti hatukwambiibas usha mchoka
huyo halaf unataka hapa eti tukwambie mwache hahaha
na hatukwambiii