Kutokuaminiana katika mahusiano

mchunguze vizuri inaonekana anakusaliti ila kukushutumu kwake ni kama "defending mechanism" ili aonekane anajali

kuwa makini
 
tumekugunduaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

braza mtu unaye mpenda akiwa anakupigia mara nyingi ndio poa tena had unafurahi
ila mtu ulo mchoka, inakuwaga bonge ya kero

ila ole wako umwache

Hahahaha brother sio hivyo bana
 
huyu mjanja hampendi halaf anataka tumuunge mkono kwenye mawazo yake

mimi mtu nikiwa nampenda hata anipigie mara 30 haiez ikawa kero
Ni kweli kabisa hampendi mdada wa watu huyo mleta mada.

Yawezekana mleta mada ndo mwenye shida.matendo yake dhidi ya mdada wa watu ndio chanzo

Au yawezekana pia huyo dada kaumizwa sana kwa style ya kutokupokelewa simu.labda katika mahusiano yake yaliyopita alishawahi kumpigia jamaa ake simu akawa apokei kumuibukia kamkuta kifuani kwa mtu.

Pengine kisaikolojia hayuko sawa juu ya kumpigia mpenzi wake simu na kutokupokea
 

Hapa kuna kaukweli kidogo itakuwa hivyo.
 
ume observe vzuri sana Chakorii
halaf huyu jamaa wakat wa kuanza mapenzi alikuwa yeye ndii masumbufu na hakuja kulalamika.

hivo wewe huwa unapenda kupigiwa mara ngap per day?

Hhahaa iceman sio hiyo bana
 
ile mida huwa unakuwa unafanya nini mkuu?.......au huwa mnakuwa na Mshana kwenye mambo yetu yale?![emoji4][emoji4][emoji4]

Sent from my Armor using JamiiForums mobile app
hahahaha
wewe ile mida nna mishen maalum
kama kutafuta wauaji wa kibiti, nikifanikiwa tu hutaniona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…